Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji

Wale Wana
We bwana umenikumbusha kitu,mjomba aliwahi nisimulia kuhusu comando wa Congo ni balaa wale wana uwezo mkubwa sana nasikia basi tu sijui inakuaje pale
Practice Muda mwingi pia ni wataalamu sana wa ndumba.

Kuna kipindi askali wa Tanzbatt one ya FIB MONUSCO ili lazimika wafundishwe jinsi ya kuviua vidono ili kupambana na M23 12/13

Nakumbuka Luteni general Frank Mwakiborwa retired. Aliwaambia atapigana nao Kwa silaha kubwa, akimaanisha Mizinga na makombola.
 
Pia hizi mission za kikanda na kijumuia, zinasaidia sana kuwajenga askali kiuwezo na uzoefu. Hata vikosi maalumu Muda mwingi wanafanya recycle ya askali na maafisa ktk mission mbali mbali.

Inasaidia kuwa active Kwa experience zaidi. Hata ukiangalia mission anazoenda JW huwa ziko complicated.

Msumbiji askali wa Sa walilazimika wawe Wana tembea na JW Kwa kigezo Cha kuzijua jamii na tamaduni za watu wa northern Nchumbiji.

Hata wanao ilinganisha Rwanda na SAMIM ni kuto kuelewa dhima na malengo. Rwanda hawaendi kupambana na magaidi Bali wao wanalimda zile sehemu za mradi wa total. Na kama wanaingia mtaani huwa wanakua na askali wenyeji. Nafikiri ni kwaajili ya buffer zone. Kuto subiri adui akufikie ulipo. Ila kazi za kumsaka adui zimefanywa na SAMIM.

Botswana na Zambia walipeleka askali kutimiza tu wajibu na maswala ya kiutawala ila huko porini kazi ilifanywa na JW,SANDF,NA ANGOLAN ARMY.
 

Attachments

  • 2023-03-03-iss-today-samim-patrol-banner.jpg
    216.8 KB · Views: 29
Hiyo Project ya Total Mozambique ni zaidi ya Dola za Kimarekani Billioni 30 Mozambique itafaidika na huo mradi ni pesa nyingi sana Askari wa Rwanda walipwe Direct na Total ili Gesi ichimbwe ipelekwe sokoni
Hapa hatutafiti mshindi ila kueleza fact.
Kikosi cha RDF kilipelekwa Msumbiji kwa makubaliano kati ya Serikali ya Msumbiji na Rwanda

Wakati huo tayari vikosi vya awali vya SADC vilikuwako huko kaskazini ya mkoa wa Cabo Delgado kwa zaidi ya miaka 2.

Hali ya kiusalama ilikiwa bado katika hali tete hali iliyopelekea makampuni ya uchimbaji mafuta kukaribia kufunga kazi kutokana na mashambilizi ya magaidi.

Jiulize swali kwa nn Philipe Nyusi aombe msaada binafsi kwa Rwanda wakati tayari amepokea vikosi vya washirika wa SADC?

Swali2. Kwanini msaada wa kijeshi iwe Rwanda na sio nchi nyingine ya Afrika?

Tafuta majibu hayo raisi sana!

Tuendelee:
Ndani ya miezi miwili RDF wakishirikiana na mwenyeji wake MDAF waliiteka ngome kuu ya waasi iliyopo kwenye mji wa bandari wa Mocimboa da Preia, mji ambao waasi walijikita kwa miaka miwili ambapo awali kabisa walishateka mji mdogo wa Awasse ulioko jirani na Mocimboa da Preia ndani ya kipindi kifupi sana.

So sio sahihi kusema eti RDF ina kazi ya kulinda tu misafara ya makampuni ya uchimbaji mafuta. RDF ilienda katika anti terror mission.

Ukweli ambao watu wanabeza na hawataki kukubali ni kuwa:

Ukiangalia mission za RDF hususan kwenye guerilla war fare utapata jibu kuwa hawa jamaa wana uzoefu sana na uwezo mpana kuliko hao SANDF.

Rejea DRC, Mozambique ambapo RDF katia mguu.
 
Najua we sio mfuatiliaji ila umesikia hizo story. Lakini nawe kabla ya kuyachukua jiongeze na uchanganye na za kwako kiasi ili upate jibu sahihi.

Unataka tukuamini kwamba SAMIDRC wako DRC kutalii na sio kipigana! Kweli?

Kwa taarifa yako objective za mission za SAMIDRC na SAMIM ni zile zile kumsaidia mwanachama wa SADC kumpiga adui.

Rhamaphosa wiki hii alikuwa Rwanda uliza katoka huko na jibu gani!
 
Hao Russia wenyewe mizinga yao inadunguliwa na Ukraine
 
Huyo Rais wa msumbiji kajichnganya sana!!

Kama Hana namna bas ACHA afanye hivyo!!

Hawa wanyankole ni very optunistic sana hawa jamaa!!

Utasikia kijana was kiume was huyo Raise anaoa make was kinyarwanda ukoo wa kagame,baadae mnyarwanda anakua Raise ndani ya msumbiji!!

Itakua too late kwake!!
 
UN chapter 6 and 7
 
Hao Russia wenyewe mizinga yao inadunguliwa na Ukraine
Ipi hiyo mkuu. Uudungue mzinga?. Alafu usiichukulie ukrain kizembe warusi ndio hao hao wa ukrein pia silaha za Ukraine sio za kitoto mzee.

Mifumo yote ya ulinzi ya urusi na ukrain walikua au wanayo kutoa hizi za miaka ya karibuni kuanzia toleo kama pantisir-M series kuendelea, S-400,500 na 550.
 
Unasifia ujinga hapa na kuingia kwenye nchi wenye majeshi yaliyokosa nidhamu mnawaonga vipesa wanasaliti mnakuja kujisifia ujinga hapa.Ingieni na Tanzania Kama mlivyoingia congo kutumia
M23 yenu kijeshi alafu lete habari zako za kuwa idi amini ni historia tu. Na kabla hamjaingia tafuteni nchi ambayo mtampeleka uamishoni kimbaumbau kwenu.
 
Na wasio jua wanawaona Rwanda na kim23 wao kuwa Wana nguvu. Hao takataka mwezi wa kwanza tu happy walifulimushwa na tz wakaanza kubweka Kama mbwa mdomo juu.
 
Bro hebu soma tena ulichokiandika.
Kabla hujachekwa uanze kijicheka mwenyewe!
 
Bro hebu soma tena ulichokiandika.
Kabla hujachekwa uanze kijicheka mwenyewe!
Sirudii kusoma usingewasifia na kutema wako vizuri kuliko walinda amani congo na msumbiji. Pia unataka Ile vita ya Tanzania na idi Amin ni historia tu maana ya historia tulikua na nguvu now hazipo. Jichanganyeni na m23. Kwani Tanzania madini hakuna? Waje si waroho wa madini.
 
Kwanza nikusahihishe kidogo. Hakuna vita ya Tanzania na Idi Amin.
ile ilikuwa vita ya Tanzania na Uganda, maarufu vita ya Kagera. (1978/79)

Yawekana miaka hiyo hujazaliwa japo sio tatizo.

Hiyo inabaki kama historia kwenye kumbukumbu za nchi, jamii na makumbusho.

Zaidi ya miaka 45 iliyopita, 60% ya wapiganaji wa vita hiyo hawako hai leo hii na walio hai ni wazee sana.

Kwa miaka 45 mazingira yamebadilika sana. Teknolojia imekua kwa kasi mno na weledi umeongezeka.
Kwa mantiki hiyo hutakiwi kumchukulia powa mwenzako eti kwa historia ya jana ama juzi ama story za vijiweni.

Russia hakutarajia kama atakuwa vitani mpaka leo, alipiga hesabu ya wiki mbili leo anakweda mwaka wa tatu na Putini anajutia maamuzi yake

Israeli hakutarajia angekutana na aibu kama iliyomkuta kutoka kwa kundi la hamasi, zaidi anajutia uamuzi wake. Hii yote ni matokeo ya kushiba stori za vijiweni na kujaa sifa

Mantiki yangu sio kubeza mafanikio ya nchi yetu kwenye hiyo vita la hasha, bali ni kipinga kufananisha vita ya walati huo na vita itakayo piganwa leo hii.

Mwisho, weka ushabiki na mihemko pembeni wakati unapo chambua jambo lolote la msingi.

Mf. Kila post yangu niliyo post tangu mwazo wa uzi hui sikutumia mihemko wala ushbiki bali nimeweka data na figure kutokuwepo misheni zilizotajwa.

Unaporudi tena, tafadhali weka data badala ya historia na stori za kusadikika kutoka vijiwe.
 
Umewapa somo zito saaana
 
wewe tu ndo hujui Majeshi ya rwanda msumbiji yanafadhiliwa na nani
Ni ufaransa kulinda makampuni yake ya gesi
DRC players ni uingereza,USA na ufaransa….
Now u know
 
wewe tu ndo hujui Majeshi ya rwanda msumbiji yanafadhiliwa na nani
Ni ufaransa kulinda makampuni yake ya gesi
DRC players ni uingereza,USA na ufaransa….
Now u know
Hizo zinabaki kuwa hisia binafsi.

Fact huambatana na evidence.

Weka ushahidi wa hisia zako ili utushawishi.

Siipendi RDF ila naukubali uwezo wake kijeshi. Ni jeshi jeshi bora zaidi kwa ukanda huu wa east,central and southern africa. Takwimu za uwanja wa mapigano zinaibeba RDF
 
Umeilinganisha na nani mpaka useme ni bora zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…