Jeshi la polisi wamlilia Ernest Mangu


Mada yako Ulilenga kusema kwamba kuna siasa huko kitu ambacho si kweli. Mangu alifanya wajibu wake na amemaliza muda kwa mujibu wa matakwa ya JPM ambaye ana mamlaka ya kuteua. Hao askari watulie tu na kufanya kazi zao maana mtu huwezi KUCHAGUA WAZAZI, BOSS, na Majirani. SIRO NI ASKARI - SIO MWANASIASA: SIRO ATAMUDU VIZURI JUKUMU HILO
 
Si huyu kuna wakati alidhamiria kumsweka Maalim Seif ndani mara tu akitua kutoka majuu, na huyu sharif wa Zanzibar akamwambia nitatua huko Bongo na husubutu kunishika ,Mangu akaufyata. Si alitaka kutumika kisiasa.
 
Naona sasa wamemuweka Srro wamtumie Kisiasa naona Mangu wamemshindwa alikua atumiki kisiasa
 
Askari nane vijana wafe hivi hivi. Amewajibika kiaina.
Huyo mkuu wa mafunzo atakuwa anahitaji semina ,
 
"Soldiers always fight for those who paid them" Little Finger - Game of Thrones, Season 5
 
Kwanini alikua hajipendekezi kwa bashite na hamsifii mkulu acha apangie kazi nyingine
 
Nimejifunza kuwa Watanzania tuna sifa ya kuwapenda Viongozi legelege ambao wanaweza kutuvumilai tukifanya vyovyote vile, na kuwachukia Viongozi wachapa kazi.

Uyu sio mchapa kazi bali mbaguzi akikukubali ata uwe una makosa kiasi gani (mfano bashite) utabaki nafasi yako ila akikuwekea kinyongo hata uwe msafi kiasi gani ( Nape) utatumbuliwa
 
Mzee anataka watu wanaosema 'ndio' kama wako bungeni, hiyo ni silka ya watu wasiojiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…