X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,346
- 14,169
Ni miaka sasa tangu jeshi la polisi watoe nafasi za ajira...nadhani ni tokea mwaka 2015 hadi leo wameuchuna kimya...kama kuna yeyote mwenye kujua ni lini jeshi letu pendwa litatoa hizo nafasi naomba atudokeze...maana najua humu jf watu huwa hawakoseagi...naona pdf...wanakaribia kuanza mafunzo...