Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la polisi wamegoma kutoa nafasi za kazi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by eddy_mhando, Feb 14, 2017 at 6:44 PM.

 1. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2017 at 6:44 PM
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  Ni miaka sasa tangu jeshi la polisi watoe nafasi za ajira...nadhani ni tokea mwaka 2015 hadi leo wameuchuna kimya...kama kuna yeyote mwenye kujua ni lini jeshi letu pendwa litatoa hizo nafasi naomba atudokeze...maana najua humu jf watu huwa hawakoseagi...naona pdf...wanakaribia kuanza mafunzo...
   
 2. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #21
  Feb 16, 2017 at 11:19 AM
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  imeandikwa wapi hiyo...mku...na huko jkt fani zote zipo?
   
 3. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #22
  Feb 16, 2017 at 11:20 AM
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  asante...mkuu...tatizo mtaji na biashara hazilipi siku hizi
   
 4. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #23
  Feb 16, 2017 at 11:22 AM
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  mkuu....kwa mfumo uliopo unazani ambao hawajapitia UZALENDO katika OP yoyote wanaweza kupata kweli nafasi za polisi?
   
 5. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #24
  Feb 16, 2017 at 11:23 AM
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  nadhani bado wapo...mkuu...na hawajui hatima yao
   
 6. melkiorysaranga

  melkiorysaranga JF-Expert Member

  #25
  Feb 16, 2017 at 11:24 AM
  Joined: Jan 25, 2016
  Messages: 1,674
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaaaaa alisema mzee mwinyi haya mambo kuwa nchi imekuwa kama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 7. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #26
  Feb 16, 2017 at 11:25 AM
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  tufanyeje mkuu...maana mwenye panga kalinoa hadi pakushikia...
   
 8. natoka hapa

  natoka hapa JF-Expert Member

  #27
  Feb 16, 2017 at 11:31 AM
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 2,614
  Likes Received: 1,542
  Trophy Points: 280
  Kupata nafasi polis, magereza au jwtz bila kupitia jkt ni ngumu sana maana JPM kashasema watu wachukuliwe jkt sio uraiani.

  Uzalendo huko jeshima maana yake ni pale unapokua uko kikosini ila kozi ya kijeshi haijaanza, hapo mnakua mnafanya Kazi tu na mazoezi ya viungo pale inapobidi, yaani uzalendo ni maisha kabla ya kuanza kozi, ila kozi ikianza ndo inaitwa ukuruti( nyie mnaopiga kozi mtaitwa recruits( kuruti-askari mwanafunzi)

  Ndo maana Msata na Oljoro utasikia RTS Msata au RTS Oljoro
  Neno RTS= Recruits Training School

  Hatua ya ukuruti ni shidaah
   
 9. melkiorysaranga

  melkiorysaranga JF-Expert Member

  #28
  Feb 16, 2017 at 11:33 AM
  Joined: Jan 25, 2016
  Messages: 1,674
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Nadhani anajua anachokifanya na anajua kile watu wanachohitaji
   
 10. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #29
  Feb 16, 2017 at 11:46 AM
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  mkuu...sasa...kuhusu fani mbali mbali nadhani wengi wenye fani zao hawakupenda kujiunga na jkt...je utaratibu si unaweza kurudi pale pale wa kuchukua watu wa mtaani baada ya kukosekana huko jkt?
   
 11. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #30
  Feb 16, 2017 at 11:48 AM
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  asante mkuu...ngoja tuone mwisho utakuwaje...si unajua pengine hapa mwanzo...tunakutana na mazito pengine mwisho utakuwa mlaisi
   
 12. natoka hapa

  natoka hapa JF-Expert Member

  #31
  Feb 16, 2017 at 12:31 PM
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 2,614
  Likes Received: 1,542
  Trophy Points: 280
  Labda kama ni daktari (MD) unaweza kupata hiyo nafasi vinginevyo ni ngumu na hata hiyo MD inabid kuisaka nafasi kwa umakini mkubwa (marefa)
   
 13. f

  fazam JF-Expert Member

  #32
  Feb 16, 2017 at 3:09 PM
  Joined: Feb 6, 2014
  Messages: 836
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 80
  nadhani mkuu wa nchi alisimamisha ajira zote za majeshi ...mpk watakapotoa utaratibu mwingine
   
 14. kadagala1

  kadagala1 JF-Expert Member

  #33
  Feb 16, 2017 at 3:49 PM
  Joined: Nov 23, 2016
  Messages: 781
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 180
  Ndo ujue hivyo kama hutaki acha.
   
 15. OPERATION ENTEBBE

  OPERATION ENTEBBE Member

  #34
  Feb 16, 2017 at 4:01 PM
  Joined: Feb 13, 2017
  Messages: 72
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Bora wasitoe maana hamna lolote kazi kulinda wizi wa Ccm tu
   
Loading...