Jeshi la polisi V/s wananchi

Jeshi la polisi V/s wananchi

Joined
Aug 20, 2014
Posts
8
Reaction score
8
Jeshi la polisi limeasi kwa kutumwa kuasi na Chama Cha Mapinduzi na serikali yake ili litumike kuwakandamiza wananchi wadai haki. Wabunge wa tiketi ya CCM wameasishwa na chama chao ili kuwafanya wananchi kuwa watumwa wao badala ya kuwa waajiri wa serikali.

Chama cha CCM na serikali yake vimefanya haki kuwa anasa kwa muda mrefu na kuzuia uwezekano wa kudaiwa haki hizo na kuingiza kwenye vichwa vya watanzania kuwa MAANDAMANO NI HATARI SANA, wakati sivyo ili wawanyang'anye kila haki yao.

Mtu asiyeruhusiwa kuandamana na kugoma kudai haki hiyo siyo mtu huru. Kwahiyo, Sisi Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi tunatoa RAI kwa polisi wakome mara moja kuzuia maandamano yanayoitishwa, kwa sababu wakiandamana wananchi nasi tunapata haki zetu kwani kisheria hatuandamani na kugoma.

Fahamuni ya kuwa Waandamanaji ni watoto wetu, Wazazi wetu, Wake zetu, Ndugu zetu, Jamaa zetu na Wananchi wenzetu kwa ujumla. Hawa ndiyo mnaowapiga mchana kweupe huku mkizungumza wazi wazi kama wanaCCM kwa sababu mmeruhusiwa kuchukua rushwa mchana kweupe na kuweza kumiliki mali nyingi kila mmoja kwa urefu wa kamba yake. Mmejenga majumba ya kifahari na kununua magari ya kisasa kwa ajili yenu na wazazi wenu, wakati sisi wanajeshi ambao tuna jukumu la kulinda nchi wazazi wetu wakiendelea kuteseka na maisha ya shida na taabu pamoja nasi wenyewe.

Mkistaafu hamuendi kufanya ukorokoroni kama sisi, maana mnapokea kodi za nyumba zenu na magari yenu mliyopata kwa RUSHWA mlizoruhusiwa kuchukua mchana kweupe, tuna uchungu sana tunapoona wananchi wanaodai haki zao kwa maandamano mkiwatesa.

Tunaudhika sana mnapokurupuka kuzuia maandamano kwa kusingizia taarifa za kiintelijensia ambazo hamzitumii kwa uhalifu mwingine, ambapo tumegundua uharibifu mkubwa unaotokana na matumizi makubwa ya nguvu kuzuia maandamano kuliko ambavyo mngewaacha wananchi wakaandamana kwa amani.

Mmeua watu kwa risasi, mmeua watu kwa mabomu, HATUTAKI TENA kuona mkizuia maandamano ya wananchi kijinga kijinga hivi. Sisi Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi tunaamini kuwa wananchi wakidai haki hata sisi tutapata, mkiwazuia nasi tunakosa haki hizo pamoja na familia zetu.

Kwahiyo, tunawataka polisi kuacha kuwaasi wananchi. Wananchi endeleeni na maandamano na migomo, Polisi watakaopambana nanyi watavuna kupoteza wazazi wao, wake zao, watoto wao popote nchini wakati wa maandamano ama baada ya maandamano mpaka watakapoacha kuzuia maandamano kwa kutumiwa na wanasiasa wa CCM, Wananchi nanyi waangamizeni polisi na watu wao popote waishipo kwani siyo walinzi wa wananchi tena.

Wananchi kumbuka nchi zote zilizosonga mbele duniani kote ni kwa sababu ya migomo na maandamano ya wananchi, nchi yetu inadumaa kwa sababu ya wananchi kuzuiliwa kuandamana na kugoma. Serikali ya CCM imewafanya wananchi mazezeta.

Bunge la Katiba limekataa tukiona kwa macho yetu kuwa UWAZI, UWAJIBIKAJI na UADILIFU eti zisiingizwe kwenye katiba mpya kwa madai kwamba hizo ni TABIA ZA MTU BINAFSI, hawa ndiyo polisi wanazuia wananchi wasiandamane kuwapinga, eti wapo kihalali. Kihalali kutenda uhalifu kwa kukataa maoni ya wananchi!

Hizi siyo siasa msitufanyie ujinga, vinginevyo mnatulazimisha tuasi... Tumechoka sasa tunasema IMETOSHA!

Wenu,

Haki
Msemaji
 
Tumeanza na Mungu Tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu na nguvu ya Mungu kamwe haishindwi
 
Sifa ya jeshi la polis tanzania ni kuua au kujeruhi raia wanapodai haki zao! Hili jeshi limepoteza sifa kwa umma wa watanzania!
 
Ni raha gani polisi anaipata akisikia ndugu yake wa mbali kauwawa pia kwenye maandamano na polisi mwenzie?
Ibgekuwa rahisi wananchi wangeanza kujibumapigo kwa familia za mapolisi.

Atakaeua nae anauliwa ndugu yake wa rika lilelile na wananchi tena mchana kweupe na bila kosa kama polisi alivyo muua raia anaetembea barabarani bila jiwe silaha yeyote na bila hata kumpiga kofi mwenzie.

Bahati nzuri sheria ya nchi iko wazi juu ya uhalali wa kuandamana kwa raia na imebariki kwa kutoa miongozo.
I hate all police everywhere in Tz.
Hata huwa siwasalimii maana wanawaza kuua tu full time na wanaua raia wema, Big problem.
 
Kuna sheria kwa JWTZ kutoa tamko la wazi kama la mleta mada..?
NINGEFURAHI sana kama msemaji wa JWTZ LT Komba angelizungumzia hili suala ..
Kiukweli tumechoka na hii sirikali ya mafisadi CCM..
 
Hakuna jeshi la polisi bali ni sawa na mgambo wa CCM

Sifa ya Jeshi la polisi imeshuka kwa kiwango kikubwa miaka ya hivi karibuni.... polisi sasa wanafanya mambo kinyume na sheria zinazowaongoza
 
Jeshi la polisi limeasi kwa kutumwa kuasi na Chama Cha Mapinduzi na serikali yake ili litumike kuwakandamiza wananchi wadai haki. Wabunge wa tiketi ya CCM wameasishwa na chama chao ili kuwafanya wananchi kuwa watumwa wao badala ya kuwa waajiri wa serikali.

Chama cha CCM na serikali yake vimefanya haki kuwa anasa kwa muda mrefu na kuzuia uwezekano wa kudaiwa haki hizo na kuingiza kwenye vichwa vya watanzania kuwa MAANDAMANO NI HATARI SANA, wakati sivyo ili wawanyang'anye kila haki yao.

Mtu asiyeruhusiwa kuandamana na kugoma kudai haki hiyo siyo mtu huru. Kwahiyo, Sisi Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi tunatoa RAI kwa polisi wakome mara moja kuzuia maandamano yanayoitishwa, kwa sababu wakiandamana wananchi nasi tunapata haki zetu kwani kisheria hatuandamani na kugoma.

Fahamuni ya kuwa Waandamanaji ni watoto wetu, Wazazi wetu, Wake zetu, Ndugu zetu, Jamaa zetu na Wananchi wenzetu kwa ujumla. Hawa ndiyo mnaowapiga mchana kweupe huku mkizungumza wazi wazi kama wanaCCM kwa sababu mmeruhusiwa kuchukua rushwa mchana kweupe na kuweza kumiliki mali nyingi kila mmoja kwa urefu wa kamba yake. Mmejenga majumba ya kifahari na kununua magari ya kisasa kwa ajili yenu na wazazi wenu, wakati sisi wanajeshi ambao tuna jukumu la kulinda nchi wazazi wetu wakiendelea kuteseka na maisha ya shida na taabu pamoja nasi wenyewe.

Mkistaafu hamuendi kufanya ukorokoroni kama sisi, maana mnapokea kodi za nyumba zenu na magari yenu mliyopata kwa RUSHWA mlizoruhusiwa kuchukua mchana kweupe, tuna uchungu sana tunapoona wananchi wanaodai haki zao kwa maandamano mkiwatesa.

Tunaudhika sana mnapokurupuka kuzuia maandamano kwa kusingizia taarifa za kiintelijensia ambazo hamzitumii kwa uhalifu mwingine, ambapo tumegundua uharibifu mkubwa unaotokana na matumizi makubwa ya nguvu kuzuia maandamano kuliko ambavyo mngewaacha wananchi wakaandamana kwa amani.

Mmeua watu kwa risasi, mmeua watu kwa mabomu, HATUTAKI TENA kuona mkizuia maandamano ya wananchi kijinga kijinga hivi. Sisi Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi tunaamini kuwa wananchi wakidai haki hata sisi tutapata, mkiwazuia nasi tunakosa haki hizo pamoja na familia zetu.

Kwahiyo, tunawataka polisi kuacha kuwaasi wananchi. Wananchi endeleeni na maandamano na migomo, Polisi watakaopambana nanyi watavuna kupoteza wazazi wao, wake zao, watoto wao popote nchini wakati wa maandamano ama baada ya maandamano mpaka watakapoacha kuzuia maandamano kwa kutumiwa na wanasiasa wa CCM, Wananchi nanyi waangamizeni polisi na watu wao popote waishipo kwani siyo walinzi wa wananchi tena.

Wananchi kumbuka nchi zote zilizosonga mbele duniani kote ni kwa sababu ya migomo na maandamano ya wananchi, nchi yetu inadumaa kwa sababu ya wananchi kuzuiliwa kuandamana na kugoma. Serikali ya CCM imewafanya wananchi mazezeta.

Bunge la Katiba limekataa tukiona kwa macho yetu kuwa UWAZI, UWAJIBIKAJI na UADILIFU eti zisiingizwe kwenye katiba mpya kwa madai kwamba hizo ni TABIA ZA MTU BINAFSI, hawa ndiyo polisi wanazuia wananchi wasiandamane kuwapinga, eti wapo kihalali. Kihalali kutenda uhalifu kwa kukataa maoni ya wananchi!

Hizi siyo siasa msitufanyie ujinga, vinginevyo mnatulazimisha tuasi... Tumechoka sasa tunasema IMETOSHA!

Wenu,

Haki
Msemaji
Nakala Ritz MSALANI
 
Last edited by a moderator:
Kuna sheria kwa JWTZ kutoa tamko la wazi kama la mleta mada..?
NINGEFURAHI sana kama msemaji wa JWTZ LT Komba angelizungumzia hili suala ..
Kiukweli tumechoka na hii sirikali ya mafisadi CCM..

ukiwa cdm na akili inavia
 
alisema babu yako na baba yako hata wewe utasema ila amani yetu ni zaidi ya katiba
 
Jeshi la polisi limepoteza sifa na kusababisha wazazi kutoruhusu watoto wao kufanya kazi hiyo na wale wanaoingia ni wale waliofeli mashuleni na kutokana na uwelewa mdogo ndo wanatumika pasipo kujua madhara yake.
Hapo zamani ilikuwa polisi akiuawa au kufa wananchi wanasikitika lakini siku hizi polisi akiuawa au kufa watu wanafurahi utafikiri limekufa jambazi
 
Kiukweli polisi wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana kwani naamini hata wao polisi hawapendi kuwapiga na kuwadhulu ndugu zao wananchi,ila ni amri za wakubwa zao.La msingi ni kuwa wanapopewa amri wajiongeze kidogo kwani wanao umia ni ndugu zao na wao polisi wanaishi ktk jamii hiyohiyo.
 
Kuna sheria kwa JWTZ kutoa tamko la wazi kama la mleta mada..?
NINGEFURAHI sana kama msemaji wa JWTZ LT Komba angelizungumzia hili suala ..
Kiukweli tumechoka na hii sirikali ya mafisadi CCM..

Toka Gen. Waitara astaafu jeshi, JWTZ limekuwa likitumika kisiasa tu.
 
Back
Top Bottom