Jeshi la polisi ni genge la Wahuni? Kukaa na mtu bila taarifa rasmi ni Utekaji

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,144
Reaction score
56,411
Tabia ya Jeshi la polisi kukana kumshikilia mtu hadi watu wapige kelele au watishie kugoma au kuandamana ni Utekaji.

Sheria inataka unapo mkamata mtu, moja ya haki yake ya msingi ni kuwasiliana na ndugu zake au mwanasheria wake au la umfikishe Mahakamani.

Imekuwa ni tabia ya jeshi la polisi kumshikilia mtu kwa muda mrefu pasipo kutoa taarifa kwa ndugu zake au kumfikisha mahakamani kama sheria inavyosema, ni uhalifu kama uhalifu mwingine.
 
Ilianza kidogokidogo siku hizi imekuwa kawaida. Na hii ni kwasababu ya madaraka walioachiwa ya uwezo wa kuua watu bila kukemewa. Hivyo huwa hawawaandikishi washukiwa vituoni ili wawe huru kuamua kumpoteza mtu au kumrudisha uraiani. Huwezi ukampa uhuru mshika bunduki ukategemea kutakua na uadilifu katika uhai wa mtu.
 
Lengo lilikua hilo kumuua ila ndio hivyo imebidi wanyooshe maelezo wangese sana hawa watu
 
Tabia ya Jeshi la polisi kukana kumshikilia mtu hadi watu wapige kelele au watishie kugoma au kuandamana ni Utekaji.

Sheria inataka unapo mkamata mtu, moja ya haki yake ya msingi ni kuwasiliana na ndugu zake au mwanasheria wake au la umfikishe Mahakamani.

Imekuwa ni tabia ya jeshi la polisi kumshikilia mtu kwa muda mrefu pasipo kutoa taarifa kwa ndugu zake au kumfikisha mahakamani kama sheria inavyosema, ni uhalifu kama uhalifu mwingine.
Hiyo taasisi imekuwa kikundi cha wahuni
 
Ilianza kidogokidogo siku hizi imekuwa kawaida. Na hii ni kwasababu ya madaraka walioachiwa ya uwezo wa kuua watu bila kukemewa. Hivyo huwa hawawaandikishi washukiwa vituoni ili wawe huru kuamua kumpoteza mtu au kumrudisha uraiani. Huwezi ukampa uhuru mshika bunduki ukategemea kutakua na uadilifu katika uhai wa mtu.
Siku hizi nikimuona polisi kabeba bunduki kichwani linaniijia wazo nakutana na muuaji tofati na zamani lilipokuwa kweli jeshi la kulinda watu na mali zake.
 
Jeshi la polisi Mbeya wamemuachia Award Kalonga mlinzi wa Mhe Lissu baada ya kupokea wito wa Mahakama kwamba anatakiwa kufikishwa Mahakamani kesho.

Awali walisema hawajui alipo.
 
IMG_1253.jpeg
IMG_1254.jpeg
 
Back
Top Bottom