Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Hili jeshi letu la polisi limepoteza maadili kabisa kwa sababu limesalimisha weledi na mamlaka yake kwa wanasiasa wa CCM. na mara nyingi linapofanya hivyo linajikuta linaaibika. Mfano ni issue ya Mbowe ya madai ya 'kukwepa dhamana ya mahakama' na suala lile la Tarime kuhusu kutupa maiti barabarani.
hata la tarime polisi wataaibika kwa sababu hatua wanazochukuwa dhidi ya CDM siyo za kiweledi, bali la maagizo ya wanasiasa wa CCM. Nasema kwa mfano ingekuwa ni kiongozi wa CDM ndiye angekuwa amefumaniwa, nadhani saa hizi angekuwa kisha kamatwa na kufikishwa mahakamani. Iko kazi kwkweli!

<br />Samahani, kuna mtu kafumaniwa huko!?
<br /><br />Samahani, kuna mtu kafumaniwa huko!?
Duh iko hii kisheria?