Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,477
- 2,651
Uchochezi maana yake ni kumkosoa kichaa, uzalendo maana yake ni kumsifia kichaaWasalaam, kwa mujibu wa katiba ya JMT police wana jukumu la kumlinda mwananchi na Mali zake, inamaana jeshi la police linapaswa kumtumikia mwananchi kwani ndio boss. Kwa siku za hivi karibuni jeshi letu LA police limejigeuza kuwa jeshi LA ccm na kuwaonea viongozi was upinzani kwa kuwakata hovyo na kuwafungulia kesi za kipuuzi zinazoitwa za uchochezi. Police wanapokea na kutekeleza maagizo kutoka kwa makada wa ccm wakiwamo maDC na maRC. ukitafakari kwa kina utagundua wananchi asilimia kubwa wamepoteza imani kwa jeshi la police kwani inatia ukakasi na tunajiuliza hawa police wanamtumikia mwananchi au chama cha mapinduzi? Hili ni jeshi la police au green guard ya ccm?
Ni nini hasa tafsiri ya neno uchochezi? Uchochezi maana yake nini?
Uchochezi maana yake ni kumkosoa kichaa, uzalendo maana yake ni kumsifia kichaa
Kama ilivyotokea kwenye korosho wakulima wamerudishiwa korosho mbovu wamefurahi na kumsifia, nasikia wanandaa maandamano ya kumpongeza, huo ndiyo uzalendoNakatika yote mawili haijalishi unasifia positive au negative, baya au zuri vyovyote iwavyo nikusifia tu
Hata polisi wakiuwa RAIA kama alivyouliwa Akwilina basi muuwaji apandishwe cheo nasisi RAIA wote tupige makofi kushangilia. Huo ndio uzalendo kwa tafsiri mpya kutoka magogoni na kutoka kule polisi headquarters.
Kama ilivyotokea kwenye korosho wakulima wamerudishiwa korosho mbovu wamefurahi na kumsifia, nasikia wanandaa maandamano ya kumpongeza, huo ndiyo uzalendo
Mbona ni swali jepesi sana
Uchochezi ni tabia ya kuwatia watu maneno ili wapate kupigana au kutukanana. hawa wapinzani wanafanya wananchi watukane na wafanye fujo na kutishia kuleta machafuko nchini kwa hiyo ni haki yao kwa mujibu wa sheria kukamatwa.Wasalaam, kwa mujibu wa katiba ya JMT police wana jukumu la kumlinda mwananchi na Mali zake, inamaana jeshi la police linapaswa kumtumikia mwananchi kwani ndio boss. Kwa siku za hivi karibuni jeshi letu LA police limejigeuza kuwa jeshi LA ccm na kuwaonea viongozi was upinzani kwa kuwakata hovyo na kuwafungulia kesi za kipuuzi zinazoitwa za uchochezi. Police wanapokea na kutekeleza maagizo kutoka kwa makada wa ccm wakiwamo maDC na maRC. ukitafakari kwa kina utagundua wananchi asilimia kubwa wamepoteza imani kwa jeshi la police kwani inatia ukakasi na tunajiuliza hawa police wanamtumikia mwananchi au chama cha mapinduzi? Hili ni jeshi la police au green guard ya ccm?
Ni nini hasa tafsiri ya neno uchochezi? Uchochezi maana yake nini?
We kitumbua unaishi nchi gani?Uchochezi ni tabia ya kuwatia watu maneno ili wapate kupigana au kutukanana. hawa wapinzani wanafanya wananchi watukane na wafanye fujo na kutishia kuleta machafuko nchini kwa hiyo ni haki yao kwa mujibu wa sheria kukamatwa.