Jeshi la Polisi linamtumikia nani? Mwananchi au CCM?

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
1,789
2,000
Wasalaam, kwa mujibu wa katiba ya JMT police wana jukumu la kumlinda mwananchi na Mali zake, inamaana jeshi la police linapaswa kumtumikia mwananchi kwani ndio boss. Kwa siku za hivi karibuni jeshi letu LA police limejigeuza kuwa jeshi LA ccm na kuwaonea viongozi was upinzani kwa kuwakata hovyo na kuwafungulia kesi za kipuuzi zinazoitwa za uchochezi. Police wanapokea na kutekeleza maagizo kutoka kwa makada wa ccm wakiwamo maDC na maRC. ukitafakari kwa kina utagundua wananchi asilimia kubwa wamepoteza imani kwa jeshi la police kwani inatia ukakasi na tunajiuliza hawa police wanamtumikia mwananchi au chama cha mapinduzi? Hili ni jeshi la police au green guard ya ccm?

Ni nini hasa tafsiri ya neno uchochezi? Uchochezi maana yake nini?
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,604
2,000
May be hawa niwanachama Wa ccm

1. Kamanda siro

2. Kamanda mambosasa

Kwa yanayoendelea yumkini hayaangiii akilini kabisa
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,162
2,000
Polisi ni Taasisi halali ya ccm , yupo kamanda wa Tanga aliyeshiriki waziwazi sherehe za ccm na kutamka kwamba kidumu chama cha mapinduzi bila kificho , Musiba anatukana hata akina Kinana hadharani kwa mwamvuli wa mwenyekiti wa ccm , na kwa vile polisi wanalamba miguu ya ccm hajawahi hata kuitwa hata kwa uongo tu
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,604
2,000
1. Mwenyekiti Wa Ccm anazunguuka nchi nzima akinadi Sera za chama nakupokea wanacha wapya

2. Katibu mkuu Wa Ccm anazunguuka nchi nzima akinadi Sera za chama nakupokea wanacha wapya

3. Mwenezi Wa Ccm anazunguuka nchi nzima akinadi Sera za chama nakupokea wanacha wapya

4. Viongozi mbalimbali Wa Ccm wanazunguuka nchi nzima kunadi Sera za chama nakupokea wanacha wapya

Balaa nipale vyama vingine vitafanya siasa popote pale hata chooni watatumwa polisi wakawashike maana chochote wafanyacho upinzani ni uchochezi na haramu

Ccm kutukana halali

Ccm kusema flan auwawe halali

Ccm kufanya lolote halali

Polisi hawaoni uchochezi kwa Ccm maana Ccm hata kuuwa kwao wanaruhusiwa

Hapa ndio mashaka yanatoka

Je siro na mambosasa wanakadi za Ccm, niwanachama Wa Ccm? Haiwezekani madudu namadhambi yafanywayo na Ccm wasiyaone isipokuwa tu endapo kutakuwa na malengo yanayosababisha wajivike upofu.
 
zaleo

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,906
2,000
Niliwahi kuambiwa kuna hatari kubwa sana kama rais atatokana na kabila kubwa nchini. Sukuelewa na nilibisha kabisa. Awamu ya tano imenipa darasa na kuthibitisha hilo. Mwalimu JKN amesema sana jambo hili akiashiria dhambi ya kulikataa kabila dogo kama Mkaa, nikadhani ni kichekesho tu, kumbe ni uhalisia. Mzanaki na Mkwere ni mifano miozuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,757
2,000
Wasalaam, kwa mujibu wa katiba ya JMT police wana jukumu la kumlinda mwananchi na Mali zake, inamaana jeshi la police linapaswa kumtumikia mwananchi kwani ndio boss. Kwa siku za hivi karibuni jeshi letu LA police limejigeuza kuwa jeshi LA ccm na kuwaonea viongozi was upinzani kwa kuwakata hovyo na kuwafungulia kesi za kipuuzi zinazoitwa za uchochezi. Police wanapokea na kutekeleza maagizo kutoka kwa makada wa ccm wakiwamo maDC na maRC. ukitafakari kwa kina utagundua wananchi asilimia kubwa wamepoteza imani kwa jeshi la police kwani inatia ukakasi na tunajiuliza hawa police wanamtumikia mwananchi au chama cha mapinduzi? Hili ni jeshi la police au green guard ya ccm?

Ni nini hasa tafsiri ya neno uchochezi? Uchochezi maana yake nini?
Uchochezi maana yake ni kumkosoa kichaa, uzalendo maana yake ni kumsifia kichaa
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000
Jeshi la polisi linawaogopa wana CCM. Ukivaa shati la kijani hapo hapo unakuwa bosi wa polisi wote kuanzia IGP mpaka huku chini. Ukimsimamisha anaweza hata kukupigia saluti kwa woga.

Tuseme ukweli tu, huu ni woga unaotokana na aina ya katiba, sheria na taratibu za utawala tulizo nazo huku mashenzini kwetu. Tungekuwa kama US yawezekana DCI na team yake muda huu wangekuwa bize pale hazina wakichunguza 2.4T zilivyotumika.

CCM huwa wanapata shida sana kuelewa kuwa Trump anachunguzwa na tume iliyoundwa na ofisi ya mwanasheria mkuu wa US pamoja na FBI.
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,604
2,000
Uchochezi maana yake ni kumkosoa kichaa, uzalendo maana yake ni kumsifia kichaa

Nakatika yote mawili haijalishi unasifia positive au negative, baya au zuri vyovyote iwavyo nikusifia tu

Hata polisi wakiuwa RAIA kama alivyouliwa Akwilina basi muuwaji apandishwe cheo nasisi RAIA wote tupige makofi kushangilia. Huo ndio uzalendo kwa tafsiri mpya kutoka magogoni na kutoka kule polisi headquarters.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,757
2,000
Nakatika yote mawili haijalishi unasifia positive au negative, baya au zuri vyovyote iwavyo nikusifia tu

Hata polisi wakiuwa RAIA kama alivyouliwa Akwilina basi muuwaji apandishwe cheo nasisi RAIA wote tupige makofi kushangilia. Huo ndio uzalendo kwa tafsiri mpya kutoka magogoni na kutoka kule polisi headquarters.
Kama ilivyotokea kwenye korosho wakulima wamerudishiwa korosho mbovu wamefurahi na kumsifia, nasikia wanandaa maandamano ya kumpongeza, huo ndiyo uzalendo
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,604
2,000
Kama ilivyotokea kwenye korosho wakulima wamerudishiwa korosho mbovu wamefurahi na kumsifia, nasikia wanandaa maandamano ya kumpongeza, huo ndiyo uzalendo

Wengi walishangilia kikokotoo

Sasa nikodi ya kichwa, muuza mchicha anunue kitambulisho tsh. 20,000, muuza bagia anunue kitambulisho kisha kwa pamoja tusifie nakushagilia

Watoto Wa shule za msingi wanaobeba mimba hususani wengi wao kwa kubakwa, marufuku kuendelea na masomo

Uzalendo sio kupinga haya matendo nikusifia kwa nguvu zote

Uzalendo sio kukosoa matendo haya nikusifia kwa nguvu zote.

Huo ndio uzalendo mpya Wa ajabu kusifia madhambi.
 
UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,863
2,000
mwananchi kwani umeona mahali wanatumikia chama chochote?vunja sharia uone ala!
 
uungwana classic

JF-Expert Member
Jun 9, 2014
2,195
2,000
Ni kweli jeshi linapaswa kumtumika mwana nchi kupitia serikali aliyoichagua huyo mwananchi so tuanze na wananchi walioichagua ccm au kuiruhusu itawale iwe kwa halali au kwa hujuma, bado kosa ni la mwananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
29,034
2,000
Dpmw-LYXUAAsrws.jpeg
 
mla dindili

Senior Member
Nov 8, 2018
110
225
Wasalaam, kwa mujibu wa katiba ya JMT police wana jukumu la kumlinda mwananchi na Mali zake, inamaana jeshi la police linapaswa kumtumikia mwananchi kwani ndio boss. Kwa siku za hivi karibuni jeshi letu LA police limejigeuza kuwa jeshi LA ccm na kuwaonea viongozi was upinzani kwa kuwakata hovyo na kuwafungulia kesi za kipuuzi zinazoitwa za uchochezi. Police wanapokea na kutekeleza maagizo kutoka kwa makada wa ccm wakiwamo maDC na maRC. ukitafakari kwa kina utagundua wananchi asilimia kubwa wamepoteza imani kwa jeshi la police kwani inatia ukakasi na tunajiuliza hawa police wanamtumikia mwananchi au chama cha mapinduzi? Hili ni jeshi la police au green guard ya ccm?

Ni nini hasa tafsiri ya neno uchochezi? Uchochezi maana yake nini?
Uchochezi ni tabia ya kuwatia watu maneno ili wapate kupigana au kutukanana. hawa wapinzani wanafanya wananchi watukane na wafanye fujo na kutishia kuleta machafuko nchini kwa hiyo ni haki yao kwa mujibu wa sheria kukamatwa.
 
Manjox

JF-Expert Member
Jul 27, 2018
490
500
Uchochezi ni tabia ya kuwatia watu maneno ili wapate kupigana au kutukanana. hawa wapinzani wanafanya wananchi watukane na wafanye fujo na kutishia kuleta machafuko nchini kwa hiyo ni haki yao kwa mujibu wa sheria kukamatwa.
We kitumbua unaishi nchi gani?
Tafsiri yako haiendani na yaliyopo nchini kwetu. Kwasasa uchochezi ni kupinga lolote alilo agiza au kufanya jiwe kwa manufaa yake au ya genge lake la wabaka haki za raia.
Na democrasia kwa police siku hizi ni kuungamkono Yale mambo ya hovyo yote anayo Fanya jiwe na genge lake na kuwashawishi wengine kuunga mkono.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom