Jeshi la polisi laua majambazi wawili, lakamata panya road

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Kamishna wa polisi Simon Siro amesema majambazi hao walikuwa watatu na kuna mmmoja amekimia na begi la fedha ambazo haijulikani ni kiasi gani
Ameshukuru raia wanaotoa taarifa zinazopelekea kukamatwa kwa wahalifu, wamekamata pia silaha mbalimbali kutoka kwenye matukio tofauti pamoja na panya road
 
Yaani ni yale yale ya mzee Kova, tamthiliya. Sasa kuita media na kuonesha bastola na mapanga lengo ni nini? Sijawahi kuona picha zao ili watu wawajue watu wabaya. Na lengo hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom