Kwani kutoa siku 3 kunachochea vipi vurugu?. Wakimkamata tunajua ni kwa sababu anazoa zoa wanachama wa CCM na hiyo itaipaisha CHADEMA kwa mbali.
Sio utani.
Wanao enda jeshini ni wale walio feli na wamepoteza matumaini.
Wanao enda jeshi la polisi ni walio feli na wamepoteza matumaini.
Wanao enda usalama wa taifa,at least hapa wapo walio soma soma kidogo,
ila wengi ni walio feli sekondari.
Kwa mtindo huu unategemea nini?
Ndio maana mwigamba aliandika kwamba watumie akili zao,
nadhani alisahau kwamba hata akili ndogo sana hawana na
ndio maana hawakuelewa maana ya makala yake.
Let's not be so judgemental. Kwani just because he has influence on people ndio akitamka kitu offensive dola ikae kimya? He's not a saint tuseme hakosei. Lakini pia, sio sahihi kumtishia kumkamata just because he exercised his right to speech. I think he is getting carried away to order the government easily like that.
what is your position sir/ma'am, sijakusoma
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.
source: Star tv news
He shouldn't get carried away and command the gvt just when he feels like.
Kwani kutoa siku 3 kunachochea vipi vurugu?. Wakimkamata tunajua ni kwa sababu anazoa zoa wanachama wa CCM na hiyo itaipaisha CHADEMA kwa mbali.
Jeshi la polisi mkoani mwz linamtafuta Dr Slaa kwa uchochezi wa kuwashawishi wananchi kuvamia vituo vya polisi na kuipa serikali siku 3 kuhakikisha wabunge wa cdm waliopigwa wanapona.
Source: star tv