Jeshi la polisi heshimuni haki za raia

Jan 15, 2017
50
64
Wasalam,nimeshanga tabia ya jeshi la police kuvamia vituo vya bodaboda na kupakia pikipiki zote kwenye fuso na kuondoka nazo.

Hii kwa mara nyingine nimeishudia leo maeneo ya Tabata kwa Swai, je ni sahihi kukamata pikipiki zilizopaki?

Binafsi naona ni uonevu ulopitiliza kukusanya faini kwa mtindo huu.
 
Kuna sababu
Wao siyo wajinga

Lazima kuna kitu ,hawa boda boda wana tabia ya kupaki pikipiki zao vituo vya daladala eti wanasubilia abilia,matokeo yake daladala zinashindwa kuparki zinabaki barabarani wakati wa kushusha abilia na hivyo kusababisha usumbufu mkubwa na foleni kwa watumiaji wengine wa barabara. Ki ukweli hawajielewi hata uendeshaji wao ni wa hovyo mara nyingi wanakoswa koswa na magari au wao wanasababisha ajali. Kama ni hivyo wakamatwe tu hakuna jinsi,labda watajirekebisha.
 
Back
Top Bottom