Jeshi la Marekani vipi mbona kimya?

Jeshi la Marekani vipi mbona kimya?

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1407748033.352424.jpg

Sasa ni miezi mitatu toka boko haramu kuwateka wasichana katika shule moja katika jimbo la Bono huko kusini mwa Nigeria, na imethibitishwa mpaka sasa hawajapatikana na haijafahamika wapi walipo.
Vikosi kadhaa kutoka marekani yaani kikosi maalum navy seal" kilipelekwa uko pia vikosi vya jumuiya ya ulaya na hata kundi la kupambana na ugaini la Israel pia liliungana kwenda kuwatafuta wasichana hao.
Lakini sasa ni miezi imepita hamna lolote liliolipotiwa ,kutoka katika oparation dunia tunapenda kujua sambamba na waathirika wa utekaji uwo!
 
Ile ni tamthilia iliyotungwa na makufar ili kuuchafua uislam kwa mgongo wa boko haram,
Haingii akili nchi ina jeshi tena jeshi imara kitokee kikundi kiwateke raia jeshi lishindwe kuwadhitibiti.
Ni uongo mtupu hao wanaigeria na Makufar wenzao wamerekani
 
Nasikia naija kuna magwiji ya uchawi. Kwa nini wameshindwa kutumia taranta hiyo kuthibitishia dunia wanga nao una-advantage????
 
View attachment 176765 Sasa ni miezi mitatu toka boko haramu kuwateka wasichana katika shule moja katika jimbo la bono uko kusini mwa nigeria, na imethibitishwa mpaka sasa hawajapatikana na haijafahamika wapi walipo, vikosi kadhaa kutoka marekani yaani kikosi maalum navy seal" kilipelekwa uko pia vikosi vya jumuiya ya ulaya na hata kundi la kupambana na ugaini la islael pia liliungana kwenda kuwatafuta wasichana hao,lakini sasa ni miezi imepita hamna lolote liliolipotiwa ,kutoka katika oparation dunia tunapenda kujua sambamba na waathirika wa utekaji uwo!

Wakishindwa tuta wapelekea vijana wetu wa JKT wakasafishe.
 
Watu hapa walikuja na mipasho,ooh navy seal,ooh mossad,mpaka leo kimya.
 
hata mi nashangaaa mosad,navy seal wanashidwa na kikundi tena cha wanamgambo si bora ingekuwa kikundi cha wanajeshi
 
Ile ni tamthilia iliyotungwa na makufar ili kuuchafua uislam kwa mgongo wa boko haram,
Haingii akili nchi ina jeshi tena jeshi imara kitokee kikundi kiwateke raia jeshi lishindwe kuwadhitibiti.
Ni uongo mtupu hao wanaigeria na Makufar wenzao wamerekani

Mkuu kwa sasa watu wenye imani kali wanafanya mauaji ya kutisha maeneo mengi dunia kwa kisingizio cha imani na nukuu mbalimbali za aya. Mimi ni muislamu lakini siungi mkono mauaiji yanayofanywa na kundi lolote la kigaidi, mfano ungepata kuziona picha za mauaji yanayofanywa na ISIS huko Iraq naamini ungetokwa machozi! wanaouawa ni waislam wenzetu wanaogoma kujiunga na makundi hayo. Ndugu yangu tufike mahala tukubali kwamba wenzetu wamepotoka, hili swala kusema kuwa ni propaganda za makafir kuuchafua uislam tuachane nalo, ukweli ni kwamba wenzetu wanatuchafua sana.
 
Yan ww udini umekuelemea kabisa mpk mihemko yako unashindwa kuizuia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Matatizo ya Africa mnataka Nchi za Magharibi ziwasaidie kila tatizo linapotokea duniani hamuachi kutupa Mzigo kwa nchi za Magharibi na Israel haya ya kutekwa wanafunzi ni njama tu za kuwasilimisha kwa lazima.
Watu hapa walikuja na mipasho,ooh navy seal,ooh mossad,mpaka leo kimya.
 
Mkuu kwa sasa watu wenye imani kali wanafanya mauaji ya kutisha maeneo mengi dunia kwa kisingizio cha imani na nukuu mbalimbali za aya. Mimi ni muislamu lakini siungi mkono mauaiji yanayofanywa na kundi lolote la kigaidi, mfano ungepata kuziona picha za mauaji yanayofanywa na ISIS huko Iraq naamini ungetokwa machozi! wanaouawa ni waislam wenzetu wanaogoma kujiunga na makundi hayo. Ndugu yangu tufike mahala tukubali kwamba wenzetu wamepotoka, hili swala kusema kuwa ni propaganda za makafir kuuchafua uislam tuachane nalo, ukweli ni kwamba wenzetu wanatuchafua sana.

Omba laana hii iondoke
 
Ile ni tamthilia iliyotungwa na makufar ili kuuchafua uislam kwa mgongo wa boko haram,
Haingii akili nchi ina jeshi tena jeshi imara kitokee kikundi kiwateke raia jeshi lishindwe kuwadhitibiti.
Ni uongo mtupu hao wanaigeria na Makufar wenzao wamerekani

wewe utakua una matatizo...alafu acha kuweka udini mbele utapotea
 
Back
Top Bottom