Jeshi la Magereza lipunguze watu wanaomkaribia Lissu gerezani na Mahakamani ili kumkinga na tetesi za sumu, hata watu wake wa karibu wasimsogelee sana

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,305
Chadema na watu wao walipitisha tetesi eti kwamba kuna mpango wa kumuwekea sumu ndugu Lissu. Hizi ni tuhuma mbaya. Nilitarajia watu wanaomsogelea Lissu Mahakamani wawe regulated na vyombo vya dola.

Nasema hivyo kwa sababu inawezekana hao wanaojichekesha hapo Mahakamani wakijifanya wanajuana na Lissu wakaitumia fursa hiyo kumdhurukumdhuru halafu wasingizie serikali.

Naona wanaomsogelea, wanampa mkono kama kumsalimia, kwa tuhuma zilizotolewa, hiyo ni hatari, kuna watu wanaweza kuwa wamepaka vitu mkononi na mengine kama hayo.

Nalipongeza Jeshi la Magereza kwa kuwazuia watu waliotaka kukaa na Lissu Mahakamani kwa muda mrefu. Dhamana ya usalama wa Lissu iko kwa Jeshi la Magereza
 
Leo utapandisha mabandiko 10000 na wachangiaji unakosa hadi unaamua kujijibu na bado unasahau kuswitch ID basi ngoja nichangie na kukukumbusha uko karibu kuzifikia dalili zote za schizophrenia.
 
Smart phone ime-touch kwa bahati mbaya
 
Chadema na watu wao walipitisha tetesi eti kwamba kuna mpango wa kumuwekea sumu ndugu Lissu. Hizi ni tuhuma mbaya. Nilitarajia watu wanaomsogelea Lissu Mahakamani wawe regulated na vyombo vya dola.

Nasema hivyo kwa sababu inawezekana hao wanaojichekesha hapo Mahakamani wakijifanya wanajuana na Lissu wakaitumia fursa hiyo kumdhurukumdhuru halafu wasingizie serikali.

Naona wanaomsogelea, wanampa mkono kama kumsalimia, kwa tuhuma zilizotolewa, hiyo ni hatari, kuna watu wanaweza kuwa wamepaka vitu mkononi na mengine kama hayo.

Nalipongeza Jeshi la Magereza kwa kuwazuia watu waliotaka kukaa na Lissu Mahakamani kwa muda mrefu. Dhamana ya usalama wa Lissu iko kwa Jeshi la Magereza
Unayoyazungumza ni sahihi jap

Una hoja japo si lazima izingatiwe
 
Back
Top Bottom