Jeshi la Kujenga Taifa

Jeshi la Kujenga Taifa

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,271
Reaction score
29,934
Nasikia Harufu ya pilau Nyumba ya Jilan

Websit ya Jeshi la kujenga Taifa

mbona haifunguki Wadau Au mambo ndio Tayar Yameshaanza nin..??

Naona Baada ya serikali kutangaza mikopo kwa wanafunz wa Vyuon

Very soon wataanza kutangaza Nafasi za Ajira

Vijana kuwen wapole

Muda si mrefu Pilau Litapakuliwa Na litaletwa Mezan Sio lazma unawe wee kulaa...!!!!
 
Nafasi jkt walishatangaza na wamesha chagua wa kwenda sasa sijui unataka ajira gani
 
Nasikia Harufu ya pilau Nyumba ya Jilan

Websit ya Jeshi la kujenga Taifa

mbona haifunguki Wadau Au mambo ndio Tayar Yameshaanza nin..??

Naona Baada ya serikali kutangaza mikopo kwa wanafunz wa Vyuon

Very soon wataanza kutangaza Nafasi za Ajira

Vijana kuwen wapole

Muda si mrefu Pilau Litapakuliwa Na litaletwa Mezan Sio lazma unawe wee kulaa...!!!!
umepiga pombe ya jadi kwa dosa
 
Ajira mpaka mwakan January! Ila jins tunavyoish kwa matumain kuwa very soon inasaidia kusogeza siku! Toka jpm asitishe ajira Mpya alisema itachukua miez 2 leo miez 5 je uhakiki huo hauish?
 
Mapema tuu trust mi
 
hivi nafasi za usaili kujiunga na jkt znatokaga mwezi gani?
 
Back
Top Bottom