Jeshi la kujenga Taifa(JKT)

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ndugu zangu nimekumbuka mbali sana nilikuwa natizama picha za Nyerere akiwa jkt,nikasikitika sana nikaona maisha ya sasa maisha ya sasa yamekosa,uzalendo, utaifa, mshikamano,Hata makazini mwamuko wakufanyakazi kwa ajili yakujenga nchi hakuna rushwa ndiyo imetangulizwa mbele!nikajiuliza je hawa wasomi wasasa wangekuwa wamepitia jkt kwa mjibu je kungekuwepo na gape kati ya aliyenacho na hasiyekuwanacho?je hipo sababu watu kutoka mashuleni vyuoni makazini kwenda jkt??je ikiwa hivyo watu wataipokea vipi?
 
Back
Top Bottom