Hapa chini, BOSS mpya ambaye cheo chake jeshini kilishindwa kujulikana ila mwandishi alisikika akisema kuwa huyu ni KAMANDA.
He he he! umeona huo mwendo wa huyo amiri jeshi anayekagua hilo jeshi? hebu mwone simba wa vita alivyokuwa kakamavuHivi hii inakaaje? Dr. Slaa ukipata muda hebu pitia hapa na utupe maelezo zaidi. Pia watu kama Zitto, na wanasiasa wengine mliopo hapa JF. Ninashindwa kuelewa kama CCM ambacho ni CHAMA, inakuwaje kiwe na jeshi lake? Licha tu ya kuwa na jeshi, ila hadi wana magwanda.
Pichani, Rais akikagua wanaJESHI wa CCM.
He he he! umeona huo mwendo wa huyo amiri jeshi anayekagua hilo jeshi? hebu mwone simba wa vita alivyokuwa kakamavu
"Rais akikagua wanaJESHI wa CCM".
JESHI????? No it can not be. Ebu tafuta sifa za kuitwa Jeshi? Utaona kuwa gwaride hilo si la Kijeshi bali ni la kiraia. Jeshi ni jambo kubwa bwana. Usifanye mchezo.