Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,694 Reaction score 2,588 May 5, 2009 #1 Waathirika wa mabomu wamepangwa familia TANO kwenye hema moja! Halafu eti wanasema wanategemea UNICEF watawapatia mahema kumi zaidi. Jamani, yaani jeshi letu limekosa mahema ya kutosha kuwahifadhi hawa watu?
Waathirika wa mabomu wamepangwa familia TANO kwenye hema moja! Halafu eti wanasema wanategemea UNICEF watawapatia mahema kumi zaidi. Jamani, yaani jeshi letu limekosa mahema ya kutosha kuwahifadhi hawa watu?
Askofu JF-Expert Member Joined Feb 14, 2009 Posts 1,664 Reaction score 87 May 6, 2009 #2 Kang said: Waathirika wa mabomu wamepangwa familia TANO kwenye hema moja! Halafu eti wanasema wanategemea UNICEF watawapatia mahema kumi zaidi. Jamani, yaani jeshi letu limekosa mahema ya kutosha kuwahifadhi hawa watu? Click to expand... Mbona wanajeshi walipoangwa kwenda Darfur walipewa mahema kibao pale Lugalo. Inawezekana mahema yametoka lakini jamaa wajanja wakachikichia nazo, si unajua siku hizi kuna biashara ya kukodisha mahema kwenye misiba na kwenye sherehe
Kang said: Waathirika wa mabomu wamepangwa familia TANO kwenye hema moja! Halafu eti wanasema wanategemea UNICEF watawapatia mahema kumi zaidi. Jamani, yaani jeshi letu limekosa mahema ya kutosha kuwahifadhi hawa watu? Click to expand... Mbona wanajeshi walipoangwa kwenda Darfur walipewa mahema kibao pale Lugalo. Inawezekana mahema yametoka lakini jamaa wajanja wakachikichia nazo, si unajua siku hizi kuna biashara ya kukodisha mahema kwenye misiba na kwenye sherehe
LazyDog JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 2,473 Reaction score 202 May 6, 2009 #3 Kang said: Waathirika wa mabomu wamepangwa familia TANO kwenye hema moja! Halafu eti wanasema wanategemea UNICEF watawapatia mahema kumi zaidi. Jamani, yaani jeshi letu limekosa mahema ya kutosha kuwahifadhi hawa watu? Click to expand... I didn't know what to think when I heard that!
Kang said: Waathirika wa mabomu wamepangwa familia TANO kwenye hema moja! Halafu eti wanasema wanategemea UNICEF watawapatia mahema kumi zaidi. Jamani, yaani jeshi letu limekosa mahema ya kutosha kuwahifadhi hawa watu? Click to expand... I didn't know what to think when I heard that!