PreGE2025 Jerry Silaa awaahidi Wananchi wa Kivule barabara ya kiwango cha Lami

PreGE2025 Jerry Silaa awaahidi Wananchi wa Kivule barabara ya kiwango cha Lami

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Mbunge wa Ukonga, Mhe. Jerry Silaa, ameahidi ujenzi wa barabara ya lami katika Kata ya Kivule, akisema kero hiyo itaondolewa hivi karibuni.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza katika fainali ya Jerry Silaa Ramadhani Cup, Silaa pia amewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Aidha, amesisitiza umuhimu wa michezo kama fursa ya ajira kwa vijana.

 
Mmezingua sana ina maana mpaka leo hakuna lami

Ova
 
Alikuwa wapi kipindi alivyokuwa waziri wa ardhi na vyoo
 
Na hivi Jimbo linagawanywa watasubiri vya kutosha. Barabara siku zote mbovu.
 
Back
Top Bottom