GE2025 Jerry Silaa: Kwaheri ya kuonana kivule sina deni na nyie

GE2025 Jerry Silaa: Kwaheri ya kuonana kivule sina deni na nyie

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Na Aliyekuwa (Mbunge Ukonga) Jerry Silaa akizungumza Na Wananchi Wa Kitunda Jimbo La Ukonga Katika Eneo Ambalo Atakabidhiwa Mkandarasi Barabara Ya Banana,Kitunda,Kivule Mpaka Msongola Kwaajili Ya Kuanza Ujenzi Hivi Karibuni

Screenshot 2025-07-19 193758.png
 
Huyu alikuwa anamnyanyasa Msama kisa analitaka jimbo
 
Back
Top Bottom