Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
- Thread starter
- #141
Walahi tena... Mimi mwana CCM. na ninaapa ya kwamba Naenda kuzaa na mke wake Jeri Silaa wa zamani. I swear
Who is that guy in Tanzania politics?
Angelikuwa walau analo la kujivunia na kutiliwa mfano kuanzia namna alivyoupata huo udiwani na umeya, angestahili mjadala.
Meya wa Ilala, Jerry Silaa ameendeleza siasa zake za majitaka leo Majumba Sita (ukonga) ambako alikutana na vijana pale njia panda ya Segerea na kuwaambia CCM itawaletea mabadiliko makubwa 2015 kama wataichagua tena.
Amesema Dr. Slaa amechoka akapumzike na hela za Marurupuru ya chama 154millioni alizopora.
Amezidi kubwabwaja kwamba CHADEMA ni chama kinachokufa kisichokuwa na wafuasi kama inavyodai isipokuwa wavuta bangi na wanywa viroba. 2014 Tutakuwa tumesha isambaratisha........vijana makini ni wale wanaiunga mkono CCM.
Jerry hatimaye alitualika kwena naye Hilltech Bar ambako vinywaji vilikuwa ni vya kumwaga.
Source: Mimi Mwenyewe eneo la tukio