Jerry Silaa azidi kuiponda CHADEMA, awaita wavuta bangi

Walahi tena... Mimi mwana CCM. na ninaapa ya kwamba Naenda kuzaa na mke wake Jeri Silaa wa zamani. I swear
 
Ni ukweli usiopingika cdm huwezi tofautisha na wavuta bangi kwa matendo yao, na hili litachukua muda sana kujitambua, maadili yanaporomoka kwa ajili ya cdm,watu wanavunja sheria na kudharau mamlaka kwa ajili ys cdm hv najiuliza cku mtakapopata ridhaa ya wananchi kuongoxa taifa hili mtatufikisha wapi?maana kama Amani ndio msingi wa Taifa hili nyie mnaona kama ni uoga tuu, kweli mtatimiza ndoto za watanzania?.
 
Jerry ni mtoto mdogo sana and he is busy with media kwa ajili ya cheap popularity lakini hakuna anachokijua ni mtupu sana
 
Who is that guy in Tanzania politics?
Angelikuwa walau analo la kujivunia na kutiliwa mfano kuanzia namna alivyoupata huo udiwani na umeya, angestahili mjadala.

Ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM, anaingia na kutoka Ikulu jinsi atakavyo....we unauliza ni nani?
 
Meya wa Ilala, Jerry Silaa ameendeleza siasa zake za majitaka leo Majumba Sita (ukonga) ambako alikutana na vijana pale njia panda ya Segerea na kuwaambia CCM itawaletea mabadiliko makubwa 2015 kama wataichagua tena.

Amesema Dr. Slaa amechoka akapumzike na hela za Marurupuru ya chama 154millioni alizopora.

Amezidi kubwabwaja kwamba CHADEMA ni chama kinachokufa kisichokuwa na wafuasi kama inavyodai isipokuwa wavuta bangi na wanywa viroba. 2014 Tutakuwa tumesha isambaratisha........vijana makini ni wale wanaiunga mkono CCM.

Jerry hatimaye alitualika kwena naye Hilltech Bar ambako vinywaji vilikuwa ni vya kumwaga.

Source: Mimi Mwenyewe eneo la tukio

Siasa Za matusi kwenye nchi zetu zitakoma lini?
 
Back
Top Bottom