Wewe utagombea tena vunjo? Ukagarazwe na wanaumeMeya wa Ilala Jerry Silaa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga Katika uchaguzi mkuu ujao.
Meya huyo ametangaza nia hiyo huku Jimbo la Ukonga likiwa jimbo linaloongoza kwa miundombinu mibovu ya barabara kiasi kwamba nauli ya daladala inafikia hadi 1000/-
Kwa sasa Jerry Silaa ni meya wa Ilala ambapo Jimbo la Ukonga liko chini yake na hatua mbalimbali za wananchi kulalamikia ubovu wa barabara hizo hazijafua dafu.
Source:Mwananchi
Mgombea wa ccm anatangazwa na kada wa chadema...hii kali
Molemo,
wewe chadema inazidi kuzama badala ya kutumia muda wako kuiokoa unahangaika na mambo yasiyokuhusu...msukule
Chadema hata shimo la choo tu hamjajenga jitambue kwanza halafu siku hizi kwa uongo hamjambo mnafanya na hii kazi soma hapa uongo wenu na wenzako.Inahusu sana. Anatangaza udhaifu na ulegelege wenu
Wewe lowasa sijui kakufanya nini bila kumtaja huwezi kupata usingizi kabisa.Lowasa ameonywa....tunasubiri na huyu dogo aonywe si kumuandama mzee wa Monduli tu.....