Jerry Muro yu wapi?

Hakuna cha kushangaza hapo, inategemea alikopa lini na interest kwenye ile principal amount ime-accrue kiasi gani.
Huyo jamaa anajitafutia umaarufu tu.....sasa hiyo si kesi ya madai? na JM amesimamishwa kazi? akisema atamlipa lakini atakapopata kipato si itakula kwa huyo jamaa!
 
Tulikuwa nae songea last week, yupo jamani. Its all about ajali kazini
 
Hakukopa gari bali alikopa million moja na nusu ili kutoa gari lake bandari.


Bwa ha ha ha ha ha ha ha. Nimeipenda sana avatar hii, teh teh teh teh, yaani kabla sijasoma post yako nimecheka kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…