PreGE2025 Jerry Muro: Wajumbe wanatanguliza pesa mbele kuliko maono

PreGE2025 Jerry Muro: Wajumbe wanatanguliza pesa mbele kuliko maono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wajumbe bhana huwa wana risk miaka 5 kwa pesa ya siku moja tu, vijizawadi vya redio na madaftari, halafu wanakuja kulia njaa miaka mitano ijayo.
===

"Watu wanapambana kuwa wabunge lakini hawajui wakishapata Ubunge wanaenda kufanya nini,.kuna watu wenye maono na kuna watu wenye fedha,watu wenye fedha wanatumia pesa nyingi sana ili kuupata ubunge lakini hawajui wakishapata ubunge wanaenda kufanya nini.

1741076654344.png


Kwa hiyo tatizo sio kuutaka Ubunge tatizo umebeba Maono gani? Na kwenye hayo maono kuna watu wanaitwa wajumbe ambao unapaswa kwenda kuzungumza nao na katika hawa wajumbe kuna wajumbe ambao watahitaji kusikiliza maono yako lakini wapo wajumbe ambao watahitaji fedha kwasababu wanadai wabunge wakipewa ubunge wanapotea hivyo wajumbe wanaona wachukue chao mapema" - Jerry Muro

Source: St. Bongo

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom