Hapana mkuu si kweli, kuna sala inamaneno haya "tusamehe makosa yetu kama tunavyosamehe na sisi"Msamaha anapaswa kuombwa Mwenyezi Mungu tuu, kuomba omba msamaha kwa binadam mwenzako ni kitendo cha uoga na unyonge, over!
Akirudi akileta tena ujinga na maneno ya shombo atakula tena ban tu!Hizi ni habari mbaya sana kwa wale wa Matopeni FC.
Jamaa anawapigia magoti TFF ili aendelee na kusababisha mapovu povu midomoni mwa watu fudenge wa Mchangani FC.
Nasema tena, hizi ni habari mbaya sana kwao.
watakuja hapa kujifanya kukebehi kitendo cha kuwapigia magoti TFF. Chimbeni mahandaki ya kujifichia, maana hapato kuwa na mahala pa kuweka sura zenu tena.
si mnamjua Jerry lakini! Msiniulize mimi, Muulizenu mleta mada awaambie kwanini amebadilisha Heading ya habari ili ilete taswira tofauti na ile iliyokusudiwa na mtoa taarifa hii ya awali.
Ni habari njema sana kwetu sisi, Jerry endelea kuwapigia magoti tu. Likizo uliyo wapa haya wa Matopeni nFC imetosha sasa. Nakumbuka enzi zile ulipokuwa pilipili midomoni na vichwani mwao.
Rudi Kijana Rudi.
Kweli mkuu, huyu jamaa alikuwa kila akiongea lazima upate kichefuchefu!!Huyo mropokaji alinifanya niongeze chuki kwa kandambili kutokana na maneno yake ya khanga kwa klabu bora Africa Mashariki...Mnyama mkali...
Simba ....
Walisamehe tu...nadhani litakuwa limejifunza kuacha kuropoka ropoka...nyambafu
Mipasho kwa TFF ndio atayapinguza,na ndicho kilichomfanya afungiwe . Hajafungiwa kwa sabbau ya maneno dhidi ya simba sc.Akirudi akileta tena ujinga na maneno ya shombo atakula tena ban tu!
Kama ni mipasho asilete ile ya akina Amina na Asha..
Mipasho ya soka ndio mpango mzima!!
Amefungiwa kwa kukataa kulipa faini ya milioni 5 mwaka 2015 kwa kutoa kashfa dhidi ya TFF. Shtaka la pili kwa kuhamasisha mashabiki wa Yanga wawafanyie vurugu wa Simba katika mchezo dhidi ya TP Mazembe na Yanga kufungwa goli 1.Shtaka la tatu la kupinga mkataba wa matangazo na Azam TV alishinda.Mipasho kwa TFF ndio atayapinguza,na ndicho kilichomfanya afungiwe . Hajafungiwa kwa sabbau ya maneno dhidi ya simba sc.
keep it in mind.
Mipasho kwa TFF ndio atayapinguza,na ndicho kilichomfanya afungiwe . Hajafungiwa kwa sabbau ya maneno dhidi ya simba sc.
keep it in mind.