Jeremiah Kisubi amshauri Diarra arudi kwao week moja kujiweka sawa "mambo yetu yale ya Kiafrika"

Mpira hata haujui, jana beki zetu zilijisahau kufanya Marking, ndio maana magoli yote ni ya set piece. Mimi na washangaa ndugu zangu makolo wanao sema Azam walicheza mpira, mimi sijaona mpira walio cheza bali ni wa kawaida.

Ila aliye waokoa Azam ni Kipa, kipindi cha kwanza alicheza mipira mingi ya hatari,jana kipa wa Azam alikuwa bora sana la sivyo tungewapiga nne au tano.
Yeah, well said.
 
aragija.JPG
 
Soka analiua kwani uongo si umeona kikicho tokea Uganda.
kabisa mkuu haijawahi kutokea stars kufungwa na cranes na kilichotokea 2019 afcon misri ni aibu snaa ,wakati hapo miaka ya katikati(1981-2018) wakuu kibao wa TFF wameipeleka team afcon tangu mwaka 1981

Kafeli soka la wanawake, kaifikisha stars afcon mara moja, chan mara moja tu, kafanikisha kuingiza teams 4 michezo ya CAf mara tatu tu, kaandaa afcon ya vijana, team ya walemavu kucheza kombe la dunia mara moja tu, afcon ya beach soccer mara moja tu
under 17 wanawake kombe la dunia mara moja tu..HAFAI HUYU MUHARIBIFU HAFAI KARIAA ANAUA SOKA LEETUUUU
 
Kwa hiyo wewe unaona tupo vizuri.

Haiseeee kweli nime amini kila mtu ana definition yake ya mafanikio.

Basi tupo vizuri.
 
hapana nakuunga mkono Karia kaharibu sana, yeye ndiye anaringia hivyo vi mafanikio ambavyo ukilinganisha na mfanikio mazito ya TENGA, MALINZI, NDOLANGA, EL MAAMRY HAMNA KITU KABISA
hafai huyu msomali anaua soka letu
 
Mpira hata haujui, jana beki zetu zilijisahau kufanya Marking, ndio maana magoli yote ni ya set piece. Mimi na washangaa ndugu zangu makolo wanao sema Azam walicheza mpira, mimi sijaona mpira walio cheza bali ni wa kawaida.

Ila aliye waokoa Azam ni Kipa, kipindi cha kwanza alicheza mipira mingi ya hatari,jana kipa wa Azam alikuwa bora sana la sivyo tungewapiga nne au tano.
Kwani huyo kipa aliwekwa golini kucheza bao? Au huyo golikipa walimuazima?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe unaona tupo vizuri.

Haiseeee kweli nime amini kila mtu ana definition yake ya mafanikio.

Basi tupo vizuri.
Sasa unapoipima Taifa Stars kwa swala la kufungwa na Uganda unafikiria vipi? Wachezaji wa kushindana na Waganda unao?? Hapa kwenu AUCHO mlimuita Doctor ambaye huko kwao ni kiazi tu, vipi class za hao wengine?

Nitajie mchezaji ambaye anaweza kubattle na yule nahodha wa Uganda, Bobosi kabla hatujaenda mbali.

Mnapaswa mkubali kiwa Tz hatuna wachezaji wa maana.
 
..... Golikipa Jeremiah Kisubi amemuandikia barua ya wazi Djigui Diarra.

"Nilipokuona kwenye ligi hii inayozidi kujiongezea umaarufu NILIVUTIWA SANA NAWE, maana wewe ni golikipa mwenye umbile dogo kama langu ila kuna vitu wewe ulivijaza zaidi kutetea umbile lako na kuwa bora zaidi.... Na ulipochukua tuzo ya golikipa bora msimu uliopita ulistahili kabisa"

"Ila mimi jambo la kukushauri kwa sasa kama mchezaji, hapa kwetu uvumilivu hakuna na hawajui vipindi vya mpito kama mchezaji"

"Hivyo kaka nyuma yako kuna shida kubwa ambayo mimi na wewe HATUIJUI, ILA SHIDA IPO. Nikuombe kabla mambo hayajawa mabaya zaidi omba hata wiki moja ya kwenda nyumbani kujitafakari"

"Huchezi vibaya ila goli lako limekuwa jepesi na timu yako ina presha kubwa"

"Kama sio ushauri mzuri kwako nisamehe pamoja na timu ya Yanga kwa ujumla msiniwazie vibaya, NAPENDA SANA KAZI YA HUYU MWAMBA, NAUMIA SANA"

🔍 Jeremiah Kisubi golikipa
 
hapana nakuunga mkono Karia kaharibu sana, yeye ndiye anaringia hivyo vi mafanikio ambavyo ukilinganisha na mfanikio mazito ya TENGA, MALINZI, NDOLANGA, EL MAAMRY HAMNA KITU KABISA
hafai huyu msomali anaua soka letu
Kweli kila mtu ana definition yake ya maana ya mafanikio.
 
Sasa unapoipima Taifa Stars kwa swala la kufungwa na Uganda unafikiria vipi? Wachezaji wa kushindana na Waganda unao?? Hapa kwenu AUCHO mlimuita Doctor ambaye huko kwao ni kiazi tu, vipi class za hao wengine?

Nitajie mchezaji ambaye anaweza kubattle na yule nahodha wa Uganda, Bobosi kabla hatujaenda mbali.

Mnapaswa mkubali kiwa Tz hatuna wachezaji wa maana.
Kwani mimi na ww tuna pingana kipi? Umekielewa nilicho maanisha?

Uganda hawajafanya cha ajabu kwenye soka lao, ambacho sisi hatukiwezi bali wamewekeza kwenye soka la vijana kuanzia ngazi ya club, ndicho walicho tuzidi mchezaji mpaka anakuwa tayari kisha komaa sisi tuna unga unga?

Talent tunazo nyingi, ila hatuna mifumo ya kuzikuza,kuzilea talent zetu ili ziwe bora, ndio nilicho maanisha kwa nini TFF wamechemka.

Kwa mpira wetu Aucho kweli ni Doctor kwani uwongo na ana onesha kiwango chake hapa Bongo,wachezaji wangapi wa nje wanacheza bongo ila kwao hawaitwi na hata wakiitwa wana sugua benchi au UMEMUONA AUCHO pekee yake?

Halafu hilo jina la Doctor hakupewa na mashabiki wa Yanga bali ni manjonjo ya Mpenja.
 
Acha akili za kipumbavu football ni mchezo wa nguvu kuumia ni sehemu ya mchezo
Wee ndo punga kabisa. Diara anaumizwa na nini kati mechi nzima hagongani na wachezaji. Na kwa nini aumie umie na afanye blunders baada ya huyo dogo kusajiliwa? Utakuwa Mluguru siyo bure
 
Back
Top Bottom