Jenista mhagama amezikwa katika makaburi ya Parokia ya Ruanda

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Jenista mhagama amezikwa leo Disemba 16,2025 katika makaburi ya Parokia ya Ruanda ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Emmanuel Nchimbi ameongoza mazishi hayo.

Pia Soma: Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake
1000542945.jpg

habari njema hii, kuzikiwa kwenye makaburi ya Parokia, nachopendea nyanda za juu kusini ni Christian land, huko ndiyo nitahamia siku muslims wakikinukisha, na najua kitanuka tu ni swala muda.

nilikuwepo maeneo ya muslims walivyokinukisha mwembachai, not good.

southern highlands hakuna muslims and lets keep it Christian forever …
 
Hakuna aliyemwachia taarifa za mahospitali kati ya tarehe 29 October 2025 hadi 10 November 2025?
 
habari njema hii, kuzikiwa kwenye makaburi ya Parokia, nachopendea nyanda za juu kusini ni Christian land, huko ndiyo nitahamia siku muslims wakikinukisha, na najua kitanuka tu ni swala muda.

nilikuwepo maeneo ya muslims walivyokinukisha mwembachai, not good.

southern highlands hakuna muslims and lets keep it Christian forever …
kaskazini nako kuzuri kuna christians wengi na hakuna uislam kindakindaki kule
 
habari njema hii, kuzikiwa kwenye makaburi ya Parokia, nachopendea nyanda za juu kusini ni Christian land, huko ndiyo nitahamia siku muslims wakikinukisha, na najua kitanuka tu ni swala muda.

nilikuwepo maeneo ya muslims walivyokinukisha mwembachai, not good.

southern highlands hakuna muslims and lets keep it Christian forever …
muslims wakikinukisha kagame na museven wanaingiza vikosi vyao kuteka maeneo jirani na nchi zao, ongeza na malawi plus kenya. Hili taifa halitaki ushenzi wa kidini kama ule wa nigeria kaskazini
 
Back
Top Bottom