Jengo linauzwa Mbweni

Jengo linauzwa Mbweni

saidaty

Senior Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
193
Reaction score
162
PAGALE LINAUZWA
MKOANI DAR ES SALAAM TANZANZANIA
*************************
Mahali:MBWENI
Eneo:TETA
PAGALE LINA VYUMBA 4
VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTER
************************
-Ina public toilet na bafu la ndani kwa ndani
-Ina sebule kubwa Sana
-Ina dining
-Ina chumba cha kusomea
-Ina store
-Ina jiko
*************************
PAGALE HILO LIMEJENGWA KWA MJENGO WA KISASA

ENEO LAKE LOTE LIMEPIMWA,SQUARE METER 550

PANA HATI (TITLE DEED)
PAGALE LIPO ENEO ZURI SANA NA MTAA UPO VIZURI SANA.KARIBU NA BARABARA KUU YA VUMBI
*************************
KWA MTEJA ALIEKUA TAYARI NAWEZA KUMRUSHIA VIDEO NZIMA AONE ENEO LOTE
*************************
CALL/WHATSAP:+255 788-224220
MAJI NA UMEME TAYARI VIPO JIRANI
*************************BEI:TSH.MIL 70(MILLIONI SABINI)MAONGEZI YAPO

KUONA HILO PAGALE NI SH.15,000 TU
KWA MAELEZO ZAIDI NIPIGIE OR WATSAP
+255 788-224220
+255 767-562153

Welcome #diversity_percentage
IMG-20200921-WA0015.jpeg
IMG-20200921-WA0013.jpeg
IMG-20200921-WA0016.jpeg
IMG-20200921-WA0011.jpeg
IMG-20200921-WA0017.jpeg
IMG-20200921-WA0011.jpeg
IMG-20200921-WA0010.jpeg
IMG_20200921_150639_125.jpeg
IMG-20200921-WA0012.jpeg
IMG-20200921-WA0012.jpeg
IMG-20200921-WA0011.jpeg
 
Bora kuliita gofu ila hili neno pagale huwa linakera na kushusha thamani kwa upande wangu.
 
ukipata mteja kwa iyo milion 70, njoo nikupe milioni moja ya soda kijana (namaanisha ilo gofu ndio unataka kumalizia shda zako zote kwenye ilo gofu) yaani umasikini wako wa miaka yote unataka kuutatulia hapo aiseeeeeee
 
na mimi naongeza milioni moja akipata mteja wa hilo gofu kwa hiyo bei. Nahisi huyu dalali hajui gharama za viwanja na gharama za ujenzi. Eneo hilo bila nyumba kwa hizo square meters inaweza ikawa say milioni 20. Ujenzi wa hilo jengo mpk kufikia hapo ni milioni 15 au tuseme 20. Jumla 40 ukiweka faida say milioni 5 inakuwa 45. Zaidi ya hapo huwezi kuliuza hilo jengo hata mbingu ishuke. Mark my words.

Mie nimejenga nyumba kuanzia mwanzo mpaka imeisha na fence juu katika eneo la square meter 840 kwa shilingi milioni 55 tu na ardhi nilinunua milioni 10 so jumla ilikuwa 65 milioni nyumba ya vyumba vinne na imeisha nimeipangisha kwa shilingi laki nne kwa mwezi. Acheni kuweka bei za ajabu ajabu humu
 
DUH KUMEKUCHA!
 
Bora kuliita gofu ila hili neno pagale huwa linakera na kushusha thamani kwa upande wangu.
gofu ni kitu kingine na pagale ni kitu kingine.
Gofu ni nyumba ambayo ilikamilika kisha ikakaa miaka mingi bila kutumika na kuchakaa.
Pagale ni nyumba ambayo haijakamilika au haijaezekwa.
 
Nimehicheck Mara Mbili Mbili Hiyo Pagala Ukihuza Sana Milion 15 Au 18 ..,..! Mimi Nitakupa 2 Milioni Kama Ukiuza Hilo Pagala Kwa Milion 70 .....
NOTE
Huu ni usawa wa joseph pombe magufuli hela imekuwa ngumu kupatikana mtahani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom