muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 657
Habari.
Kuna jamaa ana-emrgence anauza eneo lake lipo Chanika, unashuka Kituo cha Buyuni kutoka Stand hadi hapo mwendo ni dakik 15.
Kina nyumba ipo katika lenta ya vyumba viwili na kimoja ni master. Kuna sebule, choo cha public na eneo la 28×30. Umeme upo jirani.
Bei ni milioni 7
Mawasiliano: 0744265683
Sent using Jamii Forums mobile app