I think mwenye nyuzi Zaidi ni wewe uliyepita eneo la tukio. Ungeshuka kwenye mwendo kasi ukamilishe habari. Ona lilivyo jioga... Unaogopa kuchelewa kazini ata kwa nunsu saa kwa sababu ukipoteza hicho kibarua hutopata kingine. Utakuwa na vyeti feki wewe au kazi umetafutiwa na mjomba ako... 😀😀😀
Bar ya Hawaii ya Kimara Baruti njia ya vumbi kwenda Chuo Kikuu cha Dar es salaam ..UDSM inasemekana imeshika moto asb na Zimamoto wako eneo la tukio wakifanya kazi ya kuzima moto.