figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Mar 18, 2011 #1 kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco. je ni kweli???
kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco. je ni kweli???
M Msharika JF-Expert Member May 15, 2009 947 69 Mar 18, 2011 #2 kama ni kweli watanzania hadi Ikulu tutakodishiwa sasa:smash:
BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,507 11,883 Mar 18, 2011 #3 ndiyo maana dr.magufuli kapigwa stop kulivunja?
M Mwikimbi JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,762 825 Mar 18, 2011 #5 Hapana lile jengo ni mali ya tanesco, lilijengwa wakati wa manging director the late mhaville, na mkandarasi alikuwa ni noremco, labda kama wamelikweka rehani benk wakakopa pesa kwa rostam. Lakini ninavyojua ni mali ya tanesco 100%
Hapana lile jengo ni mali ya tanesco, lilijengwa wakati wa manging director the late mhaville, na mkandarasi alikuwa ni noremco, labda kama wamelikweka rehani benk wakakopa pesa kwa rostam. Lakini ninavyojua ni mali ya tanesco 100%
N Ngekewa JF-Expert Member Jul 8, 2008 7,705 1,288 Mar 18, 2011 #6 figganigga said: kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco. je ni kweli??? Click to expand... Tunapenda kutowa mada zisizo na mshiko lakini mradi wakitajwa watu fulani basi hatufikiri. Kwani wenyew si juzi tu walitowa tamko jee hili hawalijuwi?
figganigga said: kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco. je ni kweli??? Click to expand... Tunapenda kutowa mada zisizo na mshiko lakini mradi wakitajwa watu fulani basi hatufikiri. Kwani wenyew si juzi tu walitowa tamko jee hili hawalijuwi?