Jengo la ghorofa 16 Manispaa ya Ilala kuanza kubomolewa leo

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12647464_1032893113441813_7147926803596870184_n.jpg
 
Wamekosa professionals katika demolitions? Mbona wapo wengi tu ambao hawatachukua hata miezi mitatu, sanasana 21 days kitu chini.
 
Demolitions kwa wenzetu wanashusha hata 40 storey, sema tu tunapenda kutumia minguvu na we are cheap, hilo linaveshwa canvas linafungwa milipuko linashuka kama unga ububujikao., wiki tu kifusi chote kishaondolewa.
 
Tatizo la kung'ang'ania DAR hilo angejenga mtwara hilo sasa angekuwa anapiga pesa kwa wachina wa ges
 
Back
Top Bottom