Dragon Mabati
Member
- Jan 26, 2017
- 12
- 3
Bei ya IT 4 & IT 5 Gauge 28 Tafadhali?Jenga na Mabati bora na Imara kwa bei nzuri kutoka Kampuni ya DRAGON. Kiwanda kinachoongoza Tanzania kwa Ubora wenye uhakika kwa zaidi ya miaka kumi (10) sasa Sokoni.
Utapatiwa WARANTII ya miaka mitano (5) kwa muonekano ule ule wa rangi pale utakaponunua Mabati yetu.
Mabati ya Dragon yametengenezwa kwa Vipimo na Ujazo Maalum unaowezesha bati kuwa Imara na kudumu zaidi na zaidi.
Tuna Bati za aina tofauti, ipo migongo mipana IT 4 & IT 5, migongo midogo na Vigae na Gauge tofauti kama gauge 30,28 &26.
Karibu Showroom yetu iliyopo Buguruni au Kiwandani Vingunguti.
Tupo pia Mikoa ya Arusha, Mwanza, Mbeya na Dodoma.
Kwa Mawasiliano zaidi tupigie 0629226770
12,000/= kwa meter 1 MkuuBei ya IT 4 & IT 5 Gauge 28 Tafadhali?
Hapana Mkuu bati zetu ni Imara sana.Baada ya miaka mitano, bati inaanza kuvuja?
Bidhaa zetu zina ubora wa hali ya juu na Imara, na ndiyo maana tunatoa warantii ya miaka 5 kukuhakikishia ubora wa bidhaa zetu.Hivi unapotoa warranty ya miaka mitano lengo huwa ni nini? Kuwa zikipauka unakuja kuezua na kupaua zingine, vipi kuhusu mbao zangu na misumali? Wakati unapaua mimi nakaa wapi na familia?
Kiukweli sioni mantiki ya kampuni kutoa warrant kwa vitu kama mabati.
Gauge 28 migongo midogo Bei ganiPata Bati aina ya Panda Gauge 30 mita 3 kwa 21,500/=
12,000/= kwa mita 1Gauge 28 migongo midogo Bei gani
Panda ni 20,000/= mita 3Niko arusha inakuwaje gauge 30 mt 3
Gauge 30 12,000/= kwa mita 1vigae vinauzwa je mkuu na kwa mita au
na tofauti ya bati na vigae ni ipi
Bei ya IT 4 & IT 5 Gauge 28 Tafadhali?