Can I jus ask; Are yu a Norwegian or Swed? Am a Tanzanian who happened to read it all fully so I was wrong?Its a good article but the writer has not written for the Tanzania audience,
Mkuu, umetumia nguvu sana kum attack huyu jamaa. Ukitulia vizuri utamuelewa kwamba hajamaanisha kwamba waTz hawataielewa, ila maana yake ni "LENGO" la muandikaji ni kuwafikishia ujumbe "wenyewe". Msome vizuri mwandishi wa hiyo article, utaelewa anaongea na nani zaidi. Nadhani hiyo ndo hoja hasa ya huyu jamaa uliyemu attack.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice message.but I doubt kama hatatengenezewa ajali nyingine salanderNice thread and message delivered
Angeandika kiswahili ingekuwa tabu lakini kwa lugha iliyotumika hakuna shida
Kuna jamaa kambeza hali kasema haelewi, nilitegemea atafsiri ili wasioelewa waelewe kaishia kumshambulia tu kasahau wajabu wake wa kuwaelewesha wale wasioelewa.Ukweli ni kwamba generali katumia kingereza cha ndani kidogo ambach kinahitaji wajuzi wa lugha. Hii ni sawa na mtu asome kitabu cha Shabani robert wakati kiswahili chake ni cha kawaida.
Angeandika kwa kingerza cha primary school kama hiki kila mtu angeelewa na mjadala ungepamba moto.Can I jus ask; Are yu a Norwegian or Swed? Am a Tanzanian who happened to read it all fully so I was wrong?
Sasa mkuu haushangai namba moja ana PhD lakini kuongea sentensi moja ya kiingereza hawezi..hata kuelewa hawezi rejea mahojiano kule Uganda swali aliloulizwa ilibidi asaidiwe na Mu7 kulijibuWacha uvivu wa kufikiri wewe! nani kakwambia kwamba waTanzania hatujui kiingereza? Yes wapo ambao hawajui (just like in other countries), ila uache hizi sweeping statements kwamba waTanzania hatujui kiingereza.
Kama hujui ni wewe! PAMBANA NA HALI YAKO....Mtu umeenda mpaka University unasoma na kujibu mitihani kwa kiingereza na bado unalalamika kwamba huwezi kuelewa simple article kama hii ya Jenerali?
Jenerali kaeleweka vyema tuu.
If yu do not understand him jus keep left and let others passAngeandika kwa kingerza cha primary school kama hiki kila mtu angeelewa na mjadala ungepamba moto.