Jenerali Reuben Kaduma ni mmoja kati ya Makatibu kumi (10) wa Kanda ambao wametuliwa hivi karibuni kusimamia shughuli za chama katika Kanda zao. Yeye amepangiwa Kanda ya Magharibi inayoundwa na Mikoa ya Tabora, Katavi na Kigoma.
Itakumbukwa kuwa CHADEMA kimegawanya Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani katika Kanda kumi ili kurahisisha zoezi la kuwafikia wananchi kwa haraka. Kanda hizo na mikoa yake katika mabano ni Kasazini (Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga) , Pwani (Pwani na Dar Es Salaam), Ziwa Victoria (Mwanza, Kagera na Geita), Serengeti (Shinyanga, Simiyu na Mara), Kati (Singida, Dodoma na Morogoro), Nyasa (Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe na Rukwa), Kusini (Lindi, Mtwara na Ruvuma), Pemba (Kaskazini Pemba na Kusini Pemba) na Unguja (Kaskazini Unguja, Kusini Unguja na Mjini Magharibi).
Tunakutakia kila la kheri katika kazi yako hiyo mpya