hivi ni lini nchi hii itakua na channel critical ambayo itakua ina report vitu kwa uhalisia,na iwe inafikirisha zaidi.yenye mitizamo ya ki chachage chachage,mfano kama mtu amekatwa panga tarime iseme amekatwa sio ameangukia panga,maana kwa kweli inanifanya niangalie zaidi channel za nje zaidi kuliko hizi za bongo.mfano aljazeera nk.
hizi za kina Mengi na Tido mhando,naona kama zinachekesha tu,walauwalau TBC naona wanaanza kujitahidi hasa kwenye Jambo asubuhi,kuna mtangazaji mmoja very inquistive,sio kama kina juma nkamia ambao bado hawajui tupo karne gani