faru john junior JF-Expert Member Dec 26, 2016 1,596 1,717 Feb 6, 2017 #1 Nilikuwa nafuatilia mubashara historia ya Jenerali Mwamunyange kuwa ametumikia jeshi kwa miaka 45 hadi kustaafu. Kwa mujibu wa sheria mwisho wa utumishi wa umma ni miaka 60, sasa najiuliza mkuu alijiunga jeshi akiwa ana miaka mingapi?
Nilikuwa nafuatilia mubashara historia ya Jenerali Mwamunyange kuwa ametumikia jeshi kwa miaka 45 hadi kustaafu. Kwa mujibu wa sheria mwisho wa utumishi wa umma ni miaka 60, sasa najiuliza mkuu alijiunga jeshi akiwa ana miaka mingapi?
VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Nov 25, 2010 6,135 17,802 Feb 6, 2017 #2 Hizo ni porojo tu za kisiasa. Isingewezekana ajiunge jeshini akiwa na miaka 15! Mzee Tupatupa
C chikundi JF-Expert Member Oct 16, 2016 8,159 2,281 Feb 6, 2017 #3 faru john junior said: Nilikuwa nafuatilia mubashra historia ya gen. Mwmunyange kuwa ametumikia jeshi kwa miaka 45 kustaafu kwa mujbu wa sheria ni miaka 60 sasa najiuliza mkuu alijiunga jeshi akiwa anamiaka mingapi? Click to expand... Hujasikia kaongezewa Mkataba Mara TATU?
faru john junior said: Nilikuwa nafuatilia mubashra historia ya gen. Mwmunyange kuwa ametumikia jeshi kwa miaka 45 kustaafu kwa mujbu wa sheria ni miaka 60 sasa najiuliza mkuu alijiunga jeshi akiwa anamiaka mingapi? Click to expand... Hujasikia kaongezewa Mkataba Mara TATU?
faru john junior JF-Expert Member Dec 26, 2016 1,596 1,717 Feb 6, 2017 Thread starter #4 chikundi said: Hujasikia kaongezewa Mkataba Mara TATU? Click to expand... Kwa hyo tuseme alijiunga akiwa na miaka 18?
chikundi said: Hujasikia kaongezewa Mkataba Mara TATU? Click to expand... Kwa hyo tuseme alijiunga akiwa na miaka 18?
MAKANJAMNA JF-Expert Member Aug 8, 2013 1,138 1,510 Feb 6, 2017 #5 faru john junior said: Kwa hyo tuseme alijiunga akiwa na miaka 18? Click to expand... Mara 3 haimaanishi miaka 3.
faru john junior said: Kwa hyo tuseme alijiunga akiwa na miaka 18? Click to expand... Mara 3 haimaanishi miaka 3.