Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,542
- 93,152
Eti JK rafiki yangu my ass!! Yani wewe kila mtu rafiki yako, kama ungekuwa na utu japo chembe tu kwa JK ungemdhalilisha kiasi kile hapa JF? Au nikufukulie makaburi yako hapa pamoja na ule utapeli wako wa ajira za majuu?- Sijawahi kuomba cheo kwa yoyote JK ni rafiki yangu wa karibu sana ningetaka cheo ningemlilia niliporudi angenipa, unataka nikawe DC Tandahimba? hunipendi sana ndugu nimeamini, sasa kelele zako zote miaka 30 ya Chadema mbona hawakupi ubunge viti maalum tu? hahahahahaha
le Mutuz Superbrand