Jela Miaka 60 nchi ngumu

Jela Miaka 60 nchi ngumu

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
4,507
Reaction score
1,105
JELA MIAKA 60 GEITA: Mahakama wilayani Bukombe jana imemhukumu Luzelela Shibu (51) kifungo cha miaka 60 jela kwa kumbaka na kumlawiti kikongwe wa miaka 63.
 
Awe muelewa.Ni kwamba atamalizia maisha ya duniani jela hivyo asihesabu miaka tena.Period!
 
He deserve it...malaya wote wanaojiuza anaenda kubaka kikongwe....na alitakiwa apigwe
 
Back
Top Bottom