mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Jamaa moja aitwaye Boniphas (26) amehukumiwa kwa kumbaka mpenz wake
Source: Mwananchi
kwahiyo kosa la kubaka kutendeka kunategemea umri?Mpenzi ana umri gani?
Duh, kambakaje? Sodomy?Jamaa moja aitwaye Boniphas (26) amehukumiwa kwa kumbaka mpenz wake
Source: Mwananchi
Inawezekana huyo anayeitwa 'mpenzi' ni underage,Kama ni wapenzi watu wazima watakuwa walipishana muda wa kupeana tu,huyu alitaka yule kasema kachoka jamaa kaamua kufosi,vinginevyo kuna visa hapokwahiyo kosa la kubaka kutendeka kunategemea umri?
kwahiyo kosa la kubaka kutendeka kunategemea umri?Mpenzi ana umri gani?
Our penal laws pertaining to newer offences have not been updated and unfortunately under section 130(2)(a) of the Penal Code [Cap.16 R.E 2019] a man does not require consent of his wife in order to have sexual intercourse with her unless the two are separated at the time of sexual intercourse.Inawezekana huyo anayeitwa 'mpenzi' ni underage,Kama ni wapenzi watu wazima watakuwa walipishana muda wa kupeana tu,huyu alitaka yule kasema kachoka jamaa kaamua kufosi,vinginevyo kuna visa hapo
Ok, acha sheria ichukue mkondo wakekwahiyo kosa la kubaka kutendeka kunategemea umri?
Our penal laws pertaining to newer offences have not been updated and unfortunately under section 130(2)(a) of the Penal Code [Cap.16 R.E 2019] a man does not require consent of his wife in order to have sexual intercourse with her unless the two are separated at the time of sexual intercourse.
Hence if you are not separated with your wife, and you forcefully have intercourse with her, that cannot amount to rape in Tanzania.
from fb attorney
Kwa mpenzi nadhani ni rape
Kabali ya sanchezHahahahah
Habari zingekuwa zinaletwa namna hii ingekuwa raha sana....simple&clear
Hatakuwa mwanaJF huyu? Kama kasikiliza ya humu kwamba wanawake hawakubali mpaka uwalazimishe, basi yamemfika.Jamaa moja aitwaye Boniphas (26) amehukumiwa kwa kumbaka mpenz wake
Aidha akisoma huku hiyo hakimu,hakimu hezro Mwakenja wa mahaka ya hakimu mkaazi wa temeke amemtaka mtuhumiwa kulipa fidia ya tsh 500,000 na viboko 12
Mwathiriwa wa kitendo hicho jina linahifadhiwa
Chanzo: Mwananchi
Habari gani inaletwa kihuni hivi? Na unatofautishaje kubakwa na consensual sex kwa watu amabao ni wapenzi? Otherwise kila mtu akiombwa pesa baada ya sex na akakataa kutoa anasukumiziwa kesi kama hiyo na ushahidi wa tendo upo?
HiVi
Kila mwanamke akiamua kwenda kushtaki sijui kama kuna mwanaume atabaki huku mtaani...Inawezekana huyo anayeitwa 'mpenzi' ni underage,Kama ni wapenzi watu wazima watakuwa walipishana muda wa kupeana tu,huyu alitaka yule kasema kachoka jamaa kaamua kufosi,vinginevyo kuna visa hapo