Jehanamu ipo?

Mshahara wa dhambi ni mauti ,so watenda dhambi wataangamizwa milele kupitia mauti.Hakuna mtu atakyechomwa milele thats it.
Ambao hawaamini kuwa kuna mbingu na Mungu muumbaji ni vema wakaachua there is no infinity chain of events or force ,so it must be a source somewhere (this force cause this force and this force cause this force and ................at the end there is force cause all these forces ie.the source) as to the event.So who is the source of all ,you can call any name I call God.
 

Kunipa pole ni kuwa condescending, kwa sababu unaelewa kwamba akili yako ilipoishia ndipo yangu ilipoanzia mimi ndiye naona nikupe pole wewe unayeamini katika mbingu ambayo haiyumkiniki wala kuthibitishika.

Mimi naelewa kwamba mbingu ni hadithi, unless kama unaongea "mbingu" in the sense ya anga za mbali, ambayo iko kwenye spacetime yetu ukiwa na spaceship yenye fuel ya kutosha na muda wa kutosha inaweza kufika. Nyota ni sehemu ya ulimwengu halisi na zinaweza kuonekana na kupimwa kwa hiyo najua zipo. Mojawapo ni hili jua letu linalotupa mwanga na joto.

Hiyo mbingu ya kidini ni hogwash, hoopla, Hegelian hyperbole's hyperbole, hot air, hope for the hohehahe hoi-polloi and hybernating Hottentonts, hued by the hoity toity highfalutin high-priests and their hypo-psycho hellbent hallucinating hobo's.

Mwalimu wangu ni experience, kama wanavyosema "experience is the best teacher".
 

Hogwash,

Hujajibu swali, unaongelea "ningeamini kwamba jua linazunguka dunia" etc, kweli, ungeamini uongo.

Kama leo unavyoamini kwamba kuna mungu, watu wa baadaye wakiwasoma watu wa sasa wanavyoamini kwamba kuna mungu watawacheka kama sisi tunavyowacheka watu walioishi enzi za Joshua na kuamini kwamba jua linazunguka dunia. Tunavyozidi kuishi na kugundua mambo ndivyo tunavyozidi kujua kwamba dini ni mapokeo tu, lakini si lazima yawe ukweli.

Na yale mambo tuliyoyafanya kuwa "kazi ya mungu" yanavyozidi kupungua, siku moja tutaona mungu hana kazi na kugundua kwamba hayupo, mimi sitaki kusubiri siku hiyo, nishaona dalili zote kwamba huyu mungu wa ki Abrahamu huyu hayupo.
 

This is a fallacy, kwa nini unaamini "there is no infinity chain of events"? Unaweza kuthibitisha hilo ?

Once you say "there must be a source somewhere", why do you think that source must be an Abrahamic god ?

Once you say things cannot go back infinitely, and they need a first source, you are basically saying things need a source, then you come back and say this first source can exist without a source, what happens to your principle of "things need a source"? If the first source can exist without a source why not the derivatives ? Can you give satisfactory reasons as to why god can exist without being created but humans cannot?
 
Wewe ni atheist? Mbona haya maswali yamejaa jazba ya atheism?

Maswali mbona yako simple and clear hayo ? Jazba pekee ninayoiona hapa ni wewe unayeona jazba pasipo jazba, maswali yamekukaba koo mpaka unaona jazba sehemu yenye maswali machache makini.
 
I'm very tired my dears Jf friends, don't know where to start.
Let me sleep by tomorrow, God willing we shall see each other.
By the way if heven is there, why not hell. And if God is really why not devil?

If heaven is not there, why should hell be there?

If God is not real, why should the devil ?

Heaven and hell are right here on earth, ukiishi maisha mazuri ndiyo heaven yenyewe hiyo, ukiishi maisha mabaya ndiyo hell.

Mungu na shetani ni wewe mwenyewe binadamu, ukifanya matendo mazuri ndiyo uungu wenyewe, ukifanya mabaya ndiyo ushetani wenyewe.

Ukifa ndiyo kwishne, so far hamna ushahidi wa life after death wala mythology nyingine kama hizo, mafarao walijaribu mpaka kuchukua mali na watumwa waende nao huko afterlife, wamebuma. Kifo ndiyo mwisho wa mchezo, as far as we know you only live once and the afterlife is hogwash.

Na hamna mungu wala shetani, mi naogopa bacteria kuliko huyo shetani.
 
sisi waislam tunaamini masHa baada ya kufa

Amini unachotaka, unaweza kuamini kwamba mwezi umesheheni jibini ya mbuzi.

Swali ambalo huruhusiwi kujitungia majibu ni, je unajua? Unajua kwamba kuna maisha baada ya kifo?

Kuamini si kijua, ni vitu tofauti. Je unajua ?
 

.
Umejua je matendo mema ni uungu na mabaya ni ushetani? Imani huja kwa kusia na kusikia kwenyewe ndio kama huko ulikosikia na sasa unasema sawasawa na ulivyosikia. Uungu umeunyambulisha kutoka nini? Na kadhalika shetani?
 
Biblia hiyo hiyo unayo i quote inatuambia kwamba jua linazunguka dunia, je unaamini pia kwamba jua linazunguka dunia ?

kIRANGA NI ANDIKO GANI HILO? ACHA MANENO YASIO NA USHAHIDI WEKA HAPA HILO ANDIKO UFAFAFNULIWE
 
Achaneni na mafundisho ya kishetani, ya kusema hakuna jehanamu. Mwenye sikio na asikie
 
.
Umejua je matendo mema ni uungu na mabaya ni ushetani? Imani huja kwa kusia na kusikia kwenyewe ndio kama huko ulikosikia na sasa unasema sawasawa na ulivyosikia. Uungu umeunyambulisha kutoka nini? Na kadhalika shetani?

Hii ni natural law, hiyo "uungu" ni short hand ya kusema "wema" kwa nyie mnaoamini hamna wema usiotoka kwa mungu, but you can very well look at that in the context of good/ evil.

Kuna mambo unajua tu ni mabaya kwa sababu most people do not want to be hit or killed, so you don't hit or kill people, huo ni wema.

On the other hand wewe ukiwa unaenda na kupiga na kuua watu huu ni ushenzi. Unaweza kukataa hilo ?

Huhitaji mungu hapo.
 
duh kiranga umenifanya nikakifute mavumbi kitabu changu cha Hitchhikers guide to the galaxy ...........umenikumbusha shoga yangu aliyekuwa akikifanya kitabu hicho ama bible yake! πŸ˜€
 
kIRANGA NI ANDIKO GANI HILO? ACHA MANENO YASIO NA USHAHIDI WEKA HAPA HILO ANDIKO UFAFAFNULIWE

Tatizo unaamini Biblia wakati hujaisoma vizuri. Ukisoma hapo chini utaona mungu alikuwa hajui kwamba dunia inazunguka jua, alifikiri jua linazunguka dunia.

Nenda kasome (Joshua 10:12-14, cf. Habbakuk 3:11

Joshua 10:12-14 (New American Standard Bible)

12Then Joshua spoke to the LORD in the day when the LORD delivered up the Amorites before the sons of Israel, and he said in the sight of Israel,
"O (A)sun, stand still at Gibeon,
And O moon in the valley of Aijalon."
13(B)So the sun stood still, and the moon stopped,
Until the nation avenged themselves of their enemies
Is it not written in (C)the book of Jashar? And (D)the sun stopped in the middle of the sky and did not hasten to go down for about a whole day.

14There was no day like that before it or after it, when the LORD listened to the voice of a man; for (E)the LORD fought for Israel.

Cross references:
Joshua 10:12 : Hab 3:11
Joshua 10:13 : Hab 3:11
Joshua 10:13 : 2 Sam 1:18
Joshua 10:13 : Is 38:8
Joshua 10:14 : Ex 14:14; Deut 1:30; Josh 10:42

Ona hapa Joshua 10:12-14 - Passage*Lookup - New American Standard Bible - BibleGateway.com

Ina maana mungu aliye inspire biblia alikuwa hajui kwamba dunia ndiyo inazunguka jua na jua halizunguki dunia? Mifano kama hii inayoonyesha biblia si kitabu cha kutegemewa ni mingi tu.
 
duh kiranga umenifanya nikakifute mavumbi kitabu changu cha Hitchhikers guide to the galaxy ...........umenikumbusha shoga yangu aliyekuwa akikifanya kitabu hicho ama bible yake! πŸ˜€

So you're into Adams as well ? Crazy stuff.

Douglas Adams is psychedelic, and so is the author of the book of Revelation, so why believe one and not the other?

If you believe in heaven for all I care you might as well believe in "The Restaurant At The End Of The Universe"

Some of these mythologies are ugly like Vogon poetry, more inconsistent than The Dow Jones and carry more misogyny than a Mel Gibson tape, and people still call them "the word of god".

I mean PETA has a higher moral/ ethical code than Jesus Christ when it comes to the treatment of animals, and you want me to believe that bthis is the word of god ?
 

Duuuhh!.........mazee taratibu.........lol
 
kiranga unavyojua kuponda! duh! πŸ˜€



Douglas Adams is one funny guy..................but i think Asimov gave a much interesting view of the universe.
 
kiranga unavyojua kuponda! duh! πŸ˜€



Douglas Adams is one funny guy..................but i think Asimov gave a much interesting view of the universe.

Yeah,

Even in scope alone, Asimov covered much more than SF.
 

.
Karanga ndg yangu inaonekana wewe umebatizwa mwili sasa inakuhitaji ubatizwe akali. Quotation ulizotoa ni Joshua akiliamuru jua lisimame na wala sii Mungu akiliamuru lisimame. Hivyo basi kwa kuwa Mungu alishazungumza kusema njia za mwanadamu sii njia zake, wala mawazo yake sii sawa na mwanadamu, kwani yeye hupita tusikowezafika. Alijua ombi la Joshua ni siku isimame (giza lisije) kabla hajawamaliza adui zake hivyo Mungu yeye kaisimamisha dunia. Mawazo ya joshua yeye ni jua limesimama ila Mungu yeye alichomfanyia kutimiza shauku yake ni kingine. Kuzihirisha pia kwamba Joshua ni wa kusaidiwa na Mungu, katika kisa hicho hicho cha vita, mungu alimtuma malaila wake kwa joshua kwa mithili ya binadamu. joshua hakumtambua na hivyo akauchomoa upanga wake na kumtaka ajitambulishe kwamba yupo upande wa nani katika vita hivyo. Malaika akajitambulisha kua yeye ni Jemedari wa jeshi la Mungu, ndipo Joshua akasujudu. Hapa kwa akili za Karanga atakuja na hoja kwamba Mungu hamjui huyo jemedar
 

Mimi nilifikiri kitabu ha mungu kilichoandikwa kwa inspirations zake angalau kingeweza kuandika ukweli kwamba jua halizunguki dunia.

So the sun stood still, and the moon stopped,
Until the nation avenged themselves of their enemies

Tatizo ni kwamba, tunaongelea credibility ya mambo yaliyoandikwa katika biblia, na katika hili biblia imeshindwa kujionyesha kama a reliable source.Yaani kama tusingekuwa na sayansi kuweza ku verify mambo, tungekuwa tunategemea biblia, tungepata conclusion kwamba jua linazunguka dunia, wakati sivyo.

Hii ndiyo point yangu, kwamba huwezi kutegemea dunia, kwa sababu ina inaccuracies kibao.

Hili huwezi kulispin, mapungufu haya pamoja na mengine mengi, pamoja na contradictions za biblia, zinaonyesha kwamba biblia si kitabu cha mungu, ni kitabu kilichoandikwa na watu tu.

Indeed mungu mwenyewe katungwa na watu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…