Jee mgogoro wa Zanzibar unaweza kutatuliwa na mahakama ya katiba?

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
5,098
4,549
Kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa mgogoro wa kisiasa Zanzibar uliotokana na uchaguzi mkuu wa Oct 2015 umeshindwa kutatulika kwa njia za kisiasa.

Na kwa kuwa suala hili linaweza kusababisha uvunjifu wa amani Zanzibar, jee suluhu inaweza kupatikana kwa suala hili sasa kupelekwa kwenye Mahakama yetu ya Katiba?
 
Bado halijashindikana kutatuliwa kisiasa! Uchaguzi utarudiwa tena na hakuna atakayebisha!
 
Kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa mgogoro wa kisiasa Zanzibar uliotokana na uchaguzi mkuu wa Oct 2015 umeshindwa kutatulika kwa njia za kisiasa.

Na kwa kuwa suala hili linaweza kusababisha uvunjifu wa amani Zanzibar, jee suluhu inaweza kupatikana kwa suala hili sasa kupelekwa kwenye Mahakama yetu ya Katiba?
Huu mgogoro solution yake ni moja tu, kutangazwa mshindi wa Urais aliyeshinda kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25/10/2015.
Hoja hiyo inapata mashikoi zaidi hasa baada ya kuthibitika pasipo shaka yoyote kuwa aliyetangaza kuyafuta matokeo hayo Jecha Salim Jecha, hakuwa na mamlaka hayo ya kuufuta uchaguzi huo kwa mujibu wa sheria zilizoainishwa ndani ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Vile vile imefichuka kuwa kumbe huyo Jecha kwenye kikao na makamishina wenzie wa ZEC hapo tarehe 1/11/2015 aliweka bayana kuwa tangazo lake alilolitoa kupitia chombo cha habari cha ZBC kuufuta uchaguzi huo wa Zanzibar, kumbe 'alilazimishwa' kufanya hivyo na vyombo vya dola vilivyoelekezwa na serikali ya CCM!
 
Last edited:
Zenji nindogo sana kudhibiti kuibiwa nirahisi,ukawa waweke nguvuzao na macho yao yote alafu uchaguzi urudiwe,mtu abwagwe Mara ya pili tuone kama ataomba poo tena...
 
Back
Top Bottom