Jee huu ni utapeli au ni ukweli?, msaada!

funduku

Senior Member
Joined
May 2, 2013
Posts
131
Reaction score
36
Habari gani wana JF, hivi juzi kati nilijiunga ktk blog flani(Badoo) ambayo ipo kwa ajili ya kuwakutanisha watu na marafiki mbalimbali au wapenzi.... sasa juzi kuna msichana aliejitambulisha kwa jina la Anita alikoment katika profile yangu kwamba anahitaji mahusiano na mimi, kisha akanipa email yake kwa ajili yamawasiliano zaidi.... sasa nilipo mwandikia katika email yake nakutaka taarifa zake zaidi akanieleza kama ifuatavyo hapo chini..>>>>My Dearest one,
Thank you for your mail, I would really like to have good relations with you, and I have special reasons why I decided to contact you.

I decided to write to you because of the urgency of my situation here, and after reading your profile, Am Miss Anita Azama William ,24 years old girl from Sudan, the only daughter of the late Azama William my late parents are Dr. and Mrs Azama William. My father Dr. Azama William was the Special Adviser to President Salva Kiir of South Sudan for Decentralization.

My parents were among with other top Military Officials and top Government officials that was on board when the plane crash that took place on Wednesday 012, May 2010, on their way to a Political Conference, i lost the life of my lovely parents which was the worst thing that has ever happened to me in life.

I have to contact you because of maltreatment I received from my stepmother, my stepmother,plans to take all my late father's treasury and property from me after the unexpected death of my beloved father and mother on there way to political conference.

Meanwhile, I would have like to flee to Europe, but she hide away my passport and other valuable travel documents. Fortunately, she did not find where I left my father's file, which contains important documents. So I decided to run to refugee camp, where I currently seeking asylum under the auspices of the United Nations High Commissioner for Refugee here in Lome, the Republic of Togo. I want to write to you personally for the long-standing business relationships and investment in your country.

My father of blessed memory deposited amount of U.S. $ 6500, 000.00 to the bank with my name as next of kin. Nevertheless, I will forward to you necessary documents for confirmation of your acceptance assist me in the transfer and investment fund.As you will help me in investment, and I want to complete my studies, I was in my 1 year at university , when the crisis began .

It is my intention to compensate you 10% of the total amount of money for your services and the balance will be my investment capital. This is the reason why I decided to contact you. Please, all communications should be through this email address only for confidential purposes.

As soon as I receive your positive response, indicating your interest, I shall put everything in place immediately. In light of the foregoing, I would be grateful urgent communications indicating your ability and willingness to deal with this transaction sincerely.

In anticipation of your urgent and positive response. Please do leave it only to your self please, I ask you not to disclose it to any other person,until the transfer is made.
Best regards,
Anita.
 
anataka kukuibia huyo usikibali chochote,cha zaidi wasikilize wataalamu hapa JF watakujuza zaidi!
 
Kuna wenzako wameshalizwa na hao matapeli wa mtandaoni.....! Hakuna mapenzi yoyote ni njama zao tu za wizi.
 
Wewe hujui hata tapeli akitaka kukutapeli lazima akutamanishe kwanza.

Watu kama hao wapo wengi sana ila tamaa yako ndio itakupelekea utapeliwe.

Kuna mmoja anajiita Lilian Zinger naye anatumia style hiyo hiyo.

Kiufupi ni matapeli tu hawana lolote.
 
tena huyo Anita amenitumia picha zake hizo hapo

  • love (2).jpg (27.9 KB)
    baby.jpg (37.6 KB)
 

Attachments

  • baby.jpg
    35.6 KB · Views: 274
  • love (2).jpg
    25.9 KB · Views: 147
Mmmh bado tu mpaka leo hawa kina Anita wanawadanganya mkakubali
 
hao ni wezi,mie washanitumiaga barua na stori zinafanana na zako,
picha anaweza kazitoa tu huko mtandaoni we utamjulia wapo.....,
wezi hao kaka....,

halafu mbona huyo dada kama anafanana na Zahra White ile mbaya
 
Last edited by a moderator:
yaani mpaka leo bado haujawajua hao matapeli...ukitaka kujua ni tapeli ,we jifanye mjinga then mwambie akutumie hela kidogo kwa ajili ya kufanya hizo logistics...
 
Kama utaendelea naye poa tu kwa muda wako, lakini ukweli umekwisha elezwa ya kwamba hao ni wezi na matapeli shauri yako funduku.

Ukiendelea kujibizana naye na akakuibia/akakutapeli rudisha feedback kwa wadau uchekwe, ama la achana naye.
 
Last edited by a moderator:
toka ufungue email unamuda gani maaana kama unaemail ya cku nyingi hii haiwez kuwa mpya kwako
wako wengi saaaana hao
 
tena huyo Anita amenitumia picha zake hizo hapo

  • love (2).jpg (27.9 KB)
    baby.jpg (37.6 KB)

hao ni scammers wa nigeria ambao wamesoma na hawana kazi za kuajiriwa,wao hushnda internet kutafta watu wa kuwalipua,ukiingia mkenge tu utahadithia
 
kama utaendelea naye poa tu kwa muda wako, lakini ukweli umekwisha elezwa ya kwamba hao ni wezi na matapeli shauri yako funduku.

Ukiendelea kujibizana naye na akakuibia/akakutapeli rudisha feedback kwa wadau uchekwe, ama la achana naye.
nashukuru sana kwa mchango wenu wa mawazo huyo demu sina habari nae tena wakuu.
 
Mwisho wa siku atakuambia tuma USD 500 ili ashughulikie kuzitoa hizo hela zake, then tuma 1000, then 1500. Huyo ni tapeli wa kinigeria achana nae
 
Mtandao wa wezi huo, ukidai picha watakutumia picha ya demu mkali kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…