Jecha Salimu Jecha amepata umaarufu sana

Ndio maana Cuf wanafanya maandalizi ya kimya kimya kurudia uchaguzi
Huu ni uongo wa kulazimisha majina ya wagombea waliojitoa kubaki kwenye karatasi za kupigia kura
 
Mahakama iliamuru uchaguzi wa majimbo urudiwe?
Si unaelewa baada ya wateule kupata cheti cha ushindi hakuna mamlaka isipokuwa mahakama pekee ndio inaweza kufuta(kutengua) matokeo?
Jecha na CCM wanajianika juani tu.
Huu ni ukweli 100% kwa mujibu wa truth meter yangu
 
Kwa vile hati walizopewa za ushindi Uchaguzi wa 25/10 hakuna mahakama iliyotengua ushindi huo kuna hatari kama uchaguzi utarudiwa Wawakilishi wawili wawili kujitokeza baadhi ya majimbo kila mtu akijiita halali kwani anayo hati ya kumtambua kama mwakilishi kisheria
 
Hata shetan Hata shetani ni maarufu
 
JF inapoteza maudhui sasa , moderator wamelala , hii thread ina uhusiano gan na mambo ya siasa .


JF ni jipu , Magufuli embu geukia na huku
 
JF inapoteza maudhui sasa , moderator wamelala , hii thread ina uhusiano gan na mambo ya siasa .


JF ni jipu , Magufuli embu geukia na huku
Umeshindwa nguvu ya hoja sasa unakimbilia hoja ya nguvu, unaposemelea kwa magufuli una maana magufuli ni rais wenu ccm peke yenu?, wacha hizo rudi kwenye hoja
 
PIA Amepata Ulinzi Mkubwa Kama Shein!! Meanwhile Amefanya Jambo Ambalo Gumu Kufanyika Ktk Dunia Hii!! KUFUTA Matokeo Ya UCHAGUZI Ambao Umeshafanyika Na KURA Kuhesabiwa, Matokeo Yakatolewa Vituoni Na Majimboni, Yamebandikwa Vituoni, Yamesainiwa Na Mawakala Na Maafisa Wa ZEC Na Wasimamizi Wao, Washindi Wa Uwakilishi Na Udiwani Wamepatikana Na Kupatiwa Hati Zao Za USHINDI!! NA JECHA Ametangaza Matokeo Ya Kiti Cha Urais Kwa MAJIMBO 31, Zaidi Ya 53%!!! BAADAE Anatoweka Na Akiwa Mafichoni, Anatoka Alikuwa Na Kuonekana ZBC Akitoa Tangazo La KUFUTA MATOKEO Yote Ya UCHAGUZI ULE!!! SO Kwa Kitendo Hicho Cha Kushangaza Na Ajabu, Lazima Awe Mtu Maarufu Duniani!!!!!
 
JF inapoteza maudhui sasa , moderator wamelala , hii thread ina uhusiano gan na mambo ya siasa .


JF ni jipu , Magufuli embu geukia na huku
HIVI Shule Ambazo Mlizosoma Ninyi Ni Zipi!!!!!!!!!??? AU Ndio Wale Wezi Wa MITIHANI!!!!? YAANI Masuala Ya UCHAGUZI Wa WABUNGE, Wawakilishi, Madiwani Na Rais Sio Masuala Ya KISIASA!!!?? KWELI CCM Imetengeneza MISUKULE Yakutosha Mno!!!
 
Ni kweli Jecha ampata "Cheap Popularity" kupitia sinikizo, lakini nimwerevu wa kupata umaaarufu wa aina hiyo hatapale alipokuwa Kamishna wa Haki zaBinadamu mjini Dar es salaam aliponusurika kupigwa na wananachi wenye hasira pale alipokwenda kutoa uamuzi wenye utata ( bara) katika shauri liliokuwa linagombaniwa.
Lakini kwa kiswahili cha wazanzibari tunasema Jina la Jecha limevuma mno! na sio maarufu. Umaarufu mara nyingi huambatana jambo jem la furaha na kupendeza
 
Ni kweli hila kwa dhuluma aliyowafanyia Wazanzibar ataishi kama digidigi kwa maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani..
 
Yaani amejijengea kaumaarufu ka aina Fulani kwi kwi kwi kwi
 
HIVI Shule Ambazo Mlizosoma Ninyi Ni Zipi!!!!!!!!!??? AU Ndio Wale Wezi Wa MITIHANI!!!!? YAANI Masuala Ya UCHAGUZI Wa WABUNGE, Wawakilishi, Madiwani Na Rais Sio Masuala Ya KISIASA!!!?? KWELI CCM Imetengeneza MISUKULE Yakutosha Mno!!!
Msamehe bure hajitambui
 
Na lazima ulinzi wake umzidi Obama
 
Ndiyo maana wanalazimisha vyama vyote vishiriki ili wale waliokuwa wamepewa Vyeti vya ushindi warudishwe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…