Je ZZK Kavunja Katiba Ya Chadema

Je ZZK Kavunja Katiba Ya Chadema

Status
Not open for further replies.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,665
Katika hali isiyotarajiwa na wengi katika siku za hivi karibuni, kiongozi muandamizi wa chadema Zzk,alikiandikia barua chama chake ili hali yeye ni mmoja wapo ya viongozi wakuu,
Je zitto alipoandikia cdm barua,means yeye sio member,s?
Je maadili ya chama pamoja na katiba vinasemaje kuhusu malalamiko?
Je zitto anawaonyesha picha gani watanzania kujiandikia barua mwenyewe?
Chadema iitishe kikao cha dharura ili kutoa msimamo wake, haiwezekani mtu ajiandikie barua mwenyewe, amevunja taratibu za chama ikiwemo katiba, ni lazima awajibishwe @cc
 
Haya yote yanayotokea CDM sasa,ni wachache sana ,wasio hata na division five watakaopelekwa na upepo wa walioya-engneer!
Nachojiuliza ni kwanini hamuoni kwamba mnakang'anywa ili mvugugane wenyewe kwa wenyewe ili kumpa advantaje hasimu wenu?
 
We got half way to easy way {destination}.chadema tumetoka mbali na tunayakaribia mafanikio lakini ushetani ndo unaibuka,kwanini tusiwe na uvumilivu wa kisiasa, kwa nini tusiache uhuchu wa madalaka kwa maslai ya wanzania wote?. Tatizo liko wapi?, Uwongozi wa juu mpaka mnalalamikiwa kiasi hicho.
 
Uongozi wa juu uitishe kikao cha dharura ili kitoe msimamo wa yaliyojiri, Vinginevyo itatafsiriwa tofauti kabisa
 
ilianza NCCR na Mrema wakati ule kaja, CUF na Lipumba nayo ikafifia ,Sasa zamu ya CDM Slaa sijui kama itapita salama kwenye dholuba hii lakini chonde chonde jamani mtuachie zito wetu
 
ilianza NCCR na Mrema wakati ule kaja, CUF na Lipumba nayo ikafifia ,Sasa zamu ya CDM Slaa sijui kama itapita salama kwenye dholuba hii lakini chonde chonde jamani mtuachie zito wetu

Fikra zako sio huru.
 
Tatizo wanaleta mambo ya familia kwenye chama,,,chama kimejaaaa wanafamilia tu ndio wanawaza kushika nchi kweli ccm au magamba afadhali yatawale siku zotee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom