Je, Zitto kaiangusha serikali ya JK?

Je, Zitto kaiangusha serikali ya JK?

kibunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
403
Reaction score
52
Inavyoonekana sasa hawana jinsi. Wamesurrender. Lazima ving'ang'anizi waachie ngazi. Hivi, itakuwa ni kwamba serikali ya JK imeangushwa na Zitto?
 
Si kwamba Zitto kaiangusha serikali ya JK bali wananchi wamefanya hivyo Zitto ni sauti ya watanzania. Ni sauti ya Mungu
 
Hakuna mtu maarufu zaidi ya chama chake! chama kibovu lazima viongozi wake na watu wake wawe wabovu-ubadhilifu wa mawaziri wa JK ni ishara tosha kwamba CCM imechoka kuongoza na haina jipya. Kama ilivyo kwa zito juhudi anazofanya ni juhudi za chadema.......CHADEMA KUIANGUSHA SERIKALI YA KIKWETE? Labda niwakumbushe wanajf kipindi fulani Dr. Slaa alisema tukiamua Kikwete asifike 2015 hafiki-CCM walimkejeli kwa hili so hili vuguvugu halijaisha mwisho wake utafika pale JK atakapopigiwa kura ya kutokuwa na imani nae.
 
Jk jiandae, haya ni mapambano na yanaendelea. Watch out for part 2
 
Si kwamba Zitto kaiangusha serikali ya JK bali wananchi wamefanya hivyo Zitto ni sauti ya watanzania. Ni sauti ya Mungu

Ni wabunge wote waliosaini pamoja na sisi tulionyuma yao. full stop!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hakuna mtu maarufu zaidi ya chama chake! chama kibovu lazima viongozi wake na watu wake wawe wabovu-ubadhilifu wa mawaziri wa JK ni ishara tosha kwamba CCM imechoka kuongoza na haina jipya. Kama ilivyo kwa zito juhudi anazofanya ni juhudi za chadema.......CHADEMA KUIANGUSHA SERIKALI YA KIKWETE? Labda niwakumbushe wanajf kipindi fulani Dr. Slaa alisema tukiamua Kikwete asifike 2015 hafiki-CCM walimkejeli kwa hili so hili vuguvugu halijaisha mwisho wake utafika pale JK atakapopigiwa kura ya kutokuwa na imani nae.

Nakunaliana na wewe Zitto anakilisha CDM na hata kama Zitto anaonyesha kujitoa mahanga indirirect atajenga jina lake lakini direct ni lazima jina la chama lipae.

So obvious, madudu ya mawaziri wa CCM ni madudu ya serikali licha ya kuonekana hawafai.

Nashauri tu Zitto watanzania tufunge na kuomba asidhurike na magamba maana wanaamini sana katika shirki na umafia.

Naanza hapa, Eeeeeh Mungu uliyeumba mbingu na ardhi kwa siku saba, na kisha ukaridbia mwanadamu awepo duniani, mlinde mbunge wetu Zitto kabwe na hila zote mbaya za wabaya wake.

Mpe ujasiri na uwaumbue wabaya wake mchana kweupe ili wajue fitna zina mwisho na mkuu wa fitna ni wewe na ndiyo maana ulimtupa Ibilisi mpaka shimoni Jahanam.

Ameni.
 
Si kwamba Zitto kaiangusha serikali ya JK bali wananchi wamefanya hivyo Zitto ni sauti ya watanzania. Ni sauti ya Mungu

Upo sawa kabisa,Mbunge anaewakilisha wananchi vizuri anatokana na chama imara/jasiri/chenye uthubutu wa kumnyooshea kidole yeyote Yule anaevunja sheria za nchi
 
Zitto ni sauti ya MUNGU???

Zitto anawawakilisha wananchi wengi nyuma yake(waliomchagua ktk sanduku la kura),sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.Usimwangalie Zitto tu kwa macho ya karibu jaribu kufikirisha ubongo wako.
 
Hoja ya zito haiwezi kuiangusha serikali ya JK. Wabunge wa CCM hawatakubali kuipitisha ili PINDA aondolewe. kwa sababu kwa kufanya hivyo credits zitaenda CDM.
 
Nakunaliana na wewe Zitto anakilisha CDM na hata kama Zitto anaonyesha kujitoa mahanga indirirect atajenga jina lake lakini direct ni lazima jina la chama lipae.

So obvious, madudu ya mawaziri wa CCM ni madudu ya serikali licha ya kuonekana hawafai.

Nashauri tu Zitto watanzania tufunge na kuomba asidhurike na magamba maana wanaamini sana katika shirki na umafia.

Naanza hapa, Eeeeeh Mungu uliyeumba mbingu na ardhi kwa siku saba, na kisha ukaridbia mwanadamu awepo duniani, mlinde mbunge wetu Zitto kabwe na hila zote mbaya za wabaya wake.

Mpe ujasiri na uwaumbue wabaya wake mchana kweupe ili wajue fitna zina mwisho na mkuu wa fitna ni wewe na ndiyo maana ulimtupa Ibilisi mpaka shimoni Jahanam.

Ameni.

Mkuu wewe ni pastor?
 
Hali inavyoenda sasa inawezekana tukapigwa changa la macho. Lakini, hata kama wakizuga hicho alichofanya Zitto bado kitawatafuna kwa muda mrefu. Aidha, hatua hiyo imemdharirisha na kumchoresha PM kama hawajaona umuhimu wa kufanya marekebisho basi Bunge la Bajeti lolote linaweza kutokea. Ngoja tuone!
 
Back
Top Bottom