Ok.. Kwaio wivu haujengi kulingana na story ako. Je kama huyo manzi ako angekuruhusu uchape mdogo wake bila shida ungemchukuluaje? Labda mahusiano yenu yangedumu au ndio ungehamisha penzi kwa mdogo mtu?Mie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..
EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.
Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...
Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.
HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..
WIVU MBAYA SANA MAZEE..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Sasa hizo aina zote ulizotaja ni matokeo ya mapendano. Je, hizo mawivu zinajenga au kubomoa?Wivu uko wa Aina Tatu, Kuna wivu ambao mtu Ana kupenda kwel na anakujali hivyo acngependa kiumbe mwingine awe karibu yako, Kuna wivu kwa sababu ww ni mpenz wake ila Hana upendo na ww ila hataki ugawe penz pengine hivyo anakua na wivu WA hivyo afu wivu WA Tatu ni mtu anakua na wivu na ww kasababu tu ww ni mtu karibu kama mke au mume ila hakupend ila lengo Lake hapend ugawe penz pengine so kumjua mtu Ana wivu kwa kua anakupenda kwel ni vizur kuangalia matendo ya hayo mahusiano yenu, yakoje
Inasemekana upendo wa dhati hau-hukumu wala kuwa na wasi wasi. Upendo wa dhati huvumilia yote. Je, kwa hilo... Wivu una nafasi gani?Wivu??? Kwa Hiyo kama sina wivu ndio nikuruhusu uonjwe na mtu kwa vile roho inapenda???
Wazungu naamini ni miongoni mwa jamii inayoheshimu mahusiano! Unafaham Nini kiliwapata Wyne Rooney, J Terry walipo cheat??? Wakina beck?? Wakina Chriss brown...??
Wivu uwe Wa wastani tuu... Kuna raha fulan babe kukufatilia fatilia....
Ukipenda kwa dhat utaelewa...hii kitu
Mkuu mwandisi mpaka kwenye papuchiii daaah wweee noma mtu na dada yakeMie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..
EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.
Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...
Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.
HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..
WIVU MBAYA SANA MAZEE..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Unafurahi mwenyewe unajiona kidume kumla mtu na mdogo akeMie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..
EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.
Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...
Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.
HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..
WIVU MBAYA SANA MAZEE..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Jamaa anafurahia hicho alicho kifanya ila sipati picha maumivu walioyapata hao ndugu wawili kama walijua jamaa alicho wafanyia!Unafurahi mwenyewe unajiona kidume kumla mtu na mdogo ake
Wivu una raha yake..hasa wivu wa kiasiTupia mawazo yako beauty
Muuaji sana huyu na hii laana itamtafuna ata kwa kizazi chakeJamaa anafurahia hicho alicho kifanya ila sipati picha maumivu walioyapata hao ndugu wawili kama walijua jamaa alicho wafanyia!
Haya nimekuonaMmmh..napita tuu
Chief ni wewe kweli?Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...