Je wimbo huu unaitwaje?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,395
Reaction score
5,027
Kuna wimbo mmoja wa dansi, wa siku nyingi kidogo, sehemu ya maneno ni "ikiwa majungu ni mtaji yakaufanya utarike, ikiwa majungu ni biashara itakufanya ununuliwe. Ikiwa unaonaelimu ni ghali jaribu ujinga....".
Naomba kujua: - unaitwaje?; - umeimbwa na kundi gani la dansi?; na - nawezaje kuupata kwa niia rahisi?
 
https://ia600401.us.archive.org/26/items/ElimuYaMjinga/TotPlus-1.ElimuYaMjingaNiMajungu.mp3meibwa na Twanga pepeta, ameuimba Banza stonne.unaitwa elimu ya mjinga.
 
https://ia600401.us.archive.org/26/items/ElimuYaMjinga/TotPlus-1.ElimuYaMjingaNiMajungu.mp3meibwa na Twanga pepeta, ameuimba Banza stonne.unaitwa elimu ya mjinga.

Ahsante. Je hiyo link ni sahihi? Naona haileti majibu sahihi
 
unaitwa elimu ya mjinga,umeimbwa na banza stone akiwa na bendi ya TOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…