maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,278
- 5,519
Mkuu watu wa hivyo wapo ila wanataka wenyewe,mara nyingi wakiamua wanafanikiwa mapema mno maana wana connection nyingi sanaWengine Kazi zetu Kubwa ni kuwa Madaraja ya Watu Kufanikiwa Kimaisha iwe kwa Kuwasaidia Kiuwezo au Kiushauri ila baadae tunadharaulika tu.
safi sana mkuuMazoezi, na Michezo kwa ujumla
Mkuu Miti shamba ina mambo mengi hatuyajui.Natamani Sana kujua elim ya mitishamba. Kama Kuna naeweza kunisaidia naomba anipe mwanga.
Naamini nyuvu ya Mungu ipo katika Nature ila tumepumbazwa mahali
Mkuu unadhani niko tight kiivyo basi? Najifunza kama wewe tu mkuu wangu.Mkuu ubarikiwe Sana. Sijui nisemeje. Uko njema kwa haya mambo nikutafute private?
Mtu kama mwalimu.mkuu watu wa hivyo wapo ila wanataka wenyewe,mara nyingi wakiamua wanafanikiwa mapema mno maana wana connection nyingi sana
Mkuu tutembee kwenye mfano wako huo huo, hivi tujiulize ukweli ni walimu wangapi wamefanikiwa kimaisha? walimu wanajuana na watu wangapi? mwalimu unakuta hana hata kabiashara ka pembeni..hata tuition kweli? yeye ni kufundisha tu basi hapana imagine madoctor walivyo busy lakini wana biashara pembeni, tunachosema watu wengi hawatumii nafasi za connection walizonazo kwenye maendeleo.mtu kama mwalimu.
imagine.anachosema gent,swala la kukumbukwa lisiwe kama wajibu bali iwe ni kama shukrani,ndio itapendeza zaidi lakini wakabaira hawafanyi hivyo.kama haitoshi ndio kwanza wanatoa matamko ya hovyo sana kuwahusu.
Unatumia njia gani kujifunza mkuu?? Vitabu? Wazee?? Au??mkuu unadhani niko tight kiivyo basi? najifunza kama wewe tu mkuu wangu...
Distance yourself from people who:Wengine Kazi zetu Kubwa ni kuwa Madaraja ya Watu Kufanikiwa Kimaisha iwe kwa Kuwasaidia Kiuwezo au Kiushauri ila baadae tunadharaulika tu.
mkuu, unaweza kuingiza biashara mpya sokoni...na ikafanya vizuriNina udhoefu kwenye biashara zaidi kuuza “sale”